Je, wajua matumizi ya "A" na "THE" katika lugha ya kiingereza?

Hizo ni articles.kuna articles za aina 2
1.Definite artile' the'
2.indefinite articles "an,a"
Nipe ufafanuzi kila kazi zinavyofanya kazi,au ukasome zaidi
 

This is a water? Hapana kamanda !!!

1. A - kama kiambishi hutumika kwa nomino zinazohesabika na kamwe haiwezi kutumika katika nomino zinazoelezea vitu visivyohesabika kama maji.

[emoji777][emoji777][emoji777] This is a water
[emoji818][emoji818][emoji818] This is water

2. A - kama kiambishi hutumika kwa nomino ili kutoa taarifa za jumla tu.

[emoji818][emoji818][emoji818] This is a book (Hiki ni kitabu)

2. The - kama kiambishi hutumika katika nomino zinazorejelewa au zinajulikana tayari. Zinaweza kuwa zinahesabika ama la!


[emoji818][emoji818][emoji818] This is the water that I drank (Haya ni maji niliyokunywa)

[emoji818][emoji818][emoji818] This is the book (Hiki ni kitabu ila kitabu hiki kinajulikana na kinakuwa kimezungumziwa au kutajwa kabla)

3. The pia hutumiwa kwenye nomino peke (mf. Jua, mwezi n.k)

[emoji818][emoji818][emoji818] The sun is extremely hot today

[emoji818][emoji818][emoji818] The clouds are covering the moon

Angalau tuanzie hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
huwa naangali series na zile za Philippines huwa naangalia zenye subtitles basi
Okay,
Kwa kuanza download movies na subtitles. Halafu usijiweke tuu kwenye kusoma subtitles wasikilize pia. Itakusaidia kujua namna wanavyotamka maneno.
Mpaka movie iishe unajaribu kuirudia bila subtitles utaona mabadiliko.

Jaribu movies kutoka nchi mbali mbali maana kila nchi ina accents zake. Wengine ni rahisi kusikika wengine ni ngumu.
 
[emoji120] [emoji120]
 

Ila kiswahili nacho ni kigumu sana.
Zinazorejelewa, za jumla, kiambishi. ew!!!
 
Hapa ndipo nilipokuwa nimesimama mwanzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimesoma, lakini wewe hauoni hivo vitu ni vigumu? Namaanisha sio kiswahili cha kawaida kinachoongelewa na kila mtu.
Na hapo bado hatujaanza mambo ya viambishi yambwa, mofimu changamano, viambishi tamati yakinishi, ukanushi rejeshi [emoji16][emoji16][emoji16]

Ni sawa tu na kwenye sarufi ya Kiingereza. Mambo ya relative clauses, object markers, null traces, propositional phrases....

Kila taaluma ina kilugha chake tofauti na lugha ya kawaida ya kuzungumza mtaani. Madaktari na mainjinia wakianza lugha yao ndo kabisaaa mtu huelewi cho chote...Wanasheria hali kadhalika...
 

"relative clauses, object markers, null traces, propositional phrases".
Hizi zinapatikana kwenye English?. Basi hamna palipo na nafuu. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…