Je wajua Mbwana Samatta alikuwa ni mfungaji bora msimu wa mwaka 2016/2017 kwa timu yake?

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
232
Reaction score
119
JE WAJUA KWAMBA KATIKA MSIMU WA MWAKA 2016/2017 - WA LEAGUE YA JUPITER - BELGIUM, MBWANA SAMATA ALIIBUKA MFUNGAJI BORA AKIWA NA MAGOLI 11 KWA TIMU YAKE YA RACING GENK AKIFUATIWA NA Nikolaos Karelis AKIWA NA MAGOLI 9? ZINGATIA, NI NDANI YA TIMU YAKE NA SI TIMU ZOTE.

MFUNGAJI BORA WA JUMLA KWA TIMU ZOTE ALIKUWA NI [URL='http://www.topscorersfootball.com/lukasz-teodorczyk']Lukasz Teodorczyk WA TIMU YA Anderlecht ALIYEKUWA NA MAGOLI 22
[/URL]

KWA MSIMU WA MWAKA 2017/2018 SAMATA ANAONGOZA PIA KWA TIMU YAKE AKIWA NA MAGOLI MATATU.
ANAYEONGOZA KWA TIMU ZOTE KWA MSIMU HUU NI Emmanuel Bonaventure Dennis, RAIA WA NIGERIA AKIWA NA MAGOLI 4.


ENDELEA KUMSAPOTI KIJANA WENU, FUATILIA WACHEZAJI WENGINE WA KITANZANIA WANAOCHEZA NJE TUJUZANE.

FAHARI YA KUWA MTANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…