Je, wajua mechi iliyokuwa na watazamaji wengi zaidi Ligi Kuu ya Uingereza?

Je, wajua mechi iliyokuwa na watazamaji wengi zaidi Ligi Kuu ya Uingereza?

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Pamoja na kuwa ligi hii ina timu zinazoongoza ligi hadi sasa. Kuna mechi moja tu iliyojaza watazamaji wengi.

Utafiti unaonyesha mechi pia imerushwa kwenye runinga nyingi zaidi ulimwenguni. Ni mechi ya Chelsea na Manchester United.

1000226409.jpg

Je, ni timu zenye mashabiki wengi kuliko zingine.

Japo ukweli unauma ila Manchester united mechi zake zinaangaliwa na watazamaji wengi duniani kuliko timu yoyote ile.

Source: - ESPN
 
Uwanja nao unasaidia. Old Trafford unaingiza mashabiki 74, 310, na hapo waliingia 73,813. Hiyo inaonesha kuna mashabiki hawakuingia uwanjani takriban 500 kasoro kidogo hivi.
Wakati uwanja wa bournemouth vitality stadium unaingiza mashabiki 11,307 na rekodi hapo inaonesha walioingia ni 11,161 pungufu watu 146.

Usitegemee bournemouth kupata mshabiki wakuzidi 50,000 hata kama atakuwa bingwa epl kwa vitality stadium watu 20,000 ni tatizo
 
Pamoja na kuwa ligi hii ina timu zinazoongoza ligi hadi sasa. Kuna mechi moja tu iliyojaza watazamaji wengi.

Utafiti unaonyesha mechi pia imerushwa kwenye runinga nyingi zaidi ulimwenguni. Ni mechi ya Chelsea na Manchester United.

Je, ni timu zenye mashabiki wengi kuliko zingine.

Japo ukweli unauma ila Manchester united mechi zake zinaangaliwa na watazamaji wengi duniani kuliko timu yoyote ile.

Source: - ESPN
Issue ya size ya uwanja nayo ni ya kuzingatia.
 
Back
Top Bottom