Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

Joined
Jun 25, 2022
Posts
28
Reaction score
27
-Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia.
◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box za wall lamp ,kuweka bomba, za njia zote kama data,camera nk kulingana na mahitaji ya mteja husika.
◾️Kwa ujenzi wa Ghorofa mara nyingi huanzia kwenye slab..kabla ya zege kumwagwa.

Kumbuka kuna stage Kuu tatu hadi kukamilika kwa mfumo wa umeme..,na stage hizo huenda sambamba na ujenzi unavyoendelea.
hapo tumegusia stage ya kwanza.
Karibu tukupendezeshee nyumba yako Kwa kukuandalia mifumo ya umeme kuanzia

STAGE 1 _ Kutindua & plan & design
STAGE 2_ Kuvuta waya (wiring)
STAGE 3 Kufunga vifaa ( finishing.
Baada ya kufanya wiring kwenye jengo Lako Tunakujazia fomu na kuandaa mchoro kisha kuwakilisha tanesco kwa mfumo mpya wa mtandaoni (Nikonnekt) ndani ya siku tatu unapata umeme bila kwenda ofisi ya tanesco.
kwakua tuna Leseni na tupo kwenye mfumo wa Nikonnekt Tanesco.sisi tupo kwa ajili yako mteja wetu.
call/WhatsApp 0734840433
Tupo Dar es Salaam.
 

Attachments

  • IMG_20220516_083149_316.jpg
    IMG_20220516_083149_316.jpg
    491.1 KB · Views: 92
  • IMG_20211208_151810_741.jpg
    IMG_20211208_151810_741.jpg
    1.2 MB · Views: 97
  • IMG_20210806_164125_778.jpg
    IMG_20210806_164125_778.jpg
    1.6 MB · Views: 108
Fundi,
Hivi inawezekana kuunganisha umeme wa grid na umeme wa solar kwa kuweka mfumo mzuri ambao hautakuwa na switch nyingi ukutani? Na pia nyumba moja naweza kuweka mita zaidi ya moja?
 
Fundi,
Hivi inawezekana kuunganisha umeme wa grid na umeme wa solar kwa kuweka mfumo mzuri ambao hautakuwa na switch nyingi ukutani? Na pia nyumba moja naweza kuweka mita zaidi ya moja?
Ndio Boss, Kwa kutumia Hybrid Inverter,apo system inakua connected na Umeme wa Tanesco.,Ambapo umeme unaozalishwa na Solar unakua first priority..,kiasi kinachopelea kinaongezewa na umeme wa Tanesco.huu mfumo hauna mambo mengi kwakua wiring ni hiyo hiyo inatumika.
 

Attachments

  • IMG_20221215_180756_708.jpg
    IMG_20221215_180756_708.jpg
    405.8 KB · Views: 99
  • IMG_20221215_180716_110.jpg
    IMG_20221215_180716_110.jpg
    481.9 KB · Views: 103
Back
Top Bottom