Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na pale posta panaitwa zero brainkilomita zero ndipo unapoanza kuhesabu kilomita
Uko sahihi kwa miji midogo mingi ni posta, kwa miji mikubwa mingi ni roundabout ya kwanza ambayo barabara ya kwenda mkoa au mji mwingine inapoanziaNadhani kwa sehemu nyingi umeanzia lilipokuwa jengo la posta? Clock tower kama hakuna inakuwaje?
karibu na round aboutMbeya, Mnara wa Mashujaa
Ule mnara katikati ya round about ndio Mnara wa Mashujaa. Pembeni ya Round about, mbele ya ofisi iliyokuwa ya RDD ndipo walipozikwa mashujaa waliopigana Vita kuu ya pili ya duniakaribu na round about
Duh, umetisha mkuuKwa hapa Chatto ni nyumbani kwa Mheshimiwa