Je, wajua mkoa wako kilomita huwa zinaanza kuhesabiwa kutoka eneo lipi kuelekea kwingine?

Geita- roundabout
Mwanza- roundabout
Iringa- roundabout
Kwahiyo tuhitimishe kwa kusema ni roundabout
 
Inakuaga Posta kuu ya mkoa, na baadhi ya mikoa ni Roundabout.
Ila kea ndege nahisi wanahesabia Airport to Airport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…