OZAN KABAK
Member
- Dec 18, 2021
- 73
- 72
Msikilizeni hapa Spika wetu Dr. TuliaWanabodi,
Wiki iliyopita nilisema Spika aliyetangulia hakuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, hivyo ikitegemewa Naibu wake Dr. Tulia Akson pia atakuwa ni Bora Spika kwa kufuatia ile kanuni ya uwajibikaji wa pamoja ( a collective responsibilities), kwa makosa yote ya Bunge la JYN na naibu Spika Tulia, hivyo kati ya watu 70 waliogombea uspika kupitia CCM, miongoni mwao kuna watu mule wangetupatia Spika Bora kuliko Dr. Tulia, ila kwa vile aliyepitishwa na CCM ni Dr. Tulia, hivyo sasa Dr. Tulia Akson ndie Spika wetu.
Hii maana yake, ile sauti niliyoisikia hapa, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... ilikuwa ni sauti ya Mungu
Dr. Tulia Akson ndiye mpango wa Mungu kuwa Spika mpya wa Bunge la JMT.
. Lakini kama ilivyo kwa JPM na Samia, JPM was JPM na Samia ame prove She is Samia, hivyo lets give her a benefit of doubt kuwa Tulia akitulia, kama lilivyo jina lake, ana fursa na anaweza kabisa kuwa Spika Bora.
Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Mayalla umezeekaaa sana MUNGU atakulaaniWanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022
View attachment 2092447
Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita..
ambapo niliwaomba CCM ituteulie Spika Bora, kwasababu mteule wa CCM akiisha teuliwa na chama cha Mapinduzi, CCM, huyo ndie Spika, japo kwa sasa jina lililopendekezwa na CCM ni jina moja la Naibu Spika, Dr. Tulia Akson, kikao cha Wabunge wa CCM ambacho ndicho kilipaswa kiwe ni kikao cha uchaguzi wa jina moja kati ya majina matatu, kufuatia Dr. Tulia kuwa ni mwepesi sana kulinganisha na yale majina matatu, hivyo CC ya CCM, imeamua kukamilisha kazi ya jina moja, hivyo kikao cha wabunge wa CCM sio kikao tena cha uchaguzi, ni kikao cha kukamilisha tuu taratibu, na hata uchaguzi wa Spika utakaofanywa na Bunge la JMT, japo utakuwa ni uchaguzi kwasababu kutakuwa na wagombea wengine kutoka vyama vingine, lakini ukweli ni uchaguzi tuu wa kumthibitisha Dr. Tulia ili ni kukamilisha tuu taratibu, swali linabaki ni jee chaguo hili la Dr. Tulia ndiye Spika Bora?, au CCM imetuteulia tena Bora Spika?.
Wiki iliyopita nilisema Spika aliyetangulia hakuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, hivyo ikitegemewa Naibu wake Dr. Tulia Akson pia atakuwa ni Bora Spika kwa kufuatia ile kanuni ya uwajibikaji wa pamoja ( a collective responsibilities), kwa makosa yote ya Bunge la JYN na naibu Spika Tulia, hivyo kati ya watu 70 waliogombea uspika kupitia CCM, miongoni mwao kuna watu mule wangetupatia Spika Bora kuliko Dr. Tulia, ila kwa vile aliyepitishwa na CCM ni Dr. Tulia, hivyo sasa Dr. Tulia Akson ndie Spika wetu.
Hii maana yake, ile sauti niliyoisikia hapa, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... ilikuwa ni sauti ya Mungu
Dr. Tulia Akson ndiye mpango wa Mungu kuwa Spika mpya wa Bunge la JMT.
Moja ya maeneo magumu sana ambayo sisi media yetu ya Tanzania haina, ni eneo la kitu kinachoitwa "analysis" yaani uchambuzi yakinifu. Mimi ni miongoni mwa waandishi wachache wa Tanzania, tunaofanya uchambuzi yakinifu, na mimi hufanya uchambuzi huu kupita humu jf, na kwenye makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazotoka kwenye gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili. Hivyo nilifanya uchambuzi yakinifu, ya majina hayo 70 waliojitokeza CCM, katika uchambuzi huo, jina la Dr. Tulia halikuingia hata kwenye 10 bora!, za mtu wa kuwa Spika Bora. Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!, kwenye uzi huu, niliweka jina la mtu ambaye angekuwa the best kutupatia Spika Bora, ili pia nikaweka angalizo kuwa Spika wetu, atakayepitishwa, sii lazima awe the best, but the chosen one, hivyo aliyechagulia ni Dr. Tulia.
Mambo mawili kwake.
Kwanza kwa vile she was tainted na madhaifu ya Bunge lililopita, hivyo kuonekana Dr. Tulia kama ni another Bora Spika, let's give her the benefits of doubt, kwamba japo alikuwa Naibu Spika chini ya Bora Spika, akitegemewa na yeye atakuwa ni Bora Spika, kosa kubwa la mtangulizi wake ni kukurupuka, ni kukurupuka huko, kukafanya taarifa ya kamati teule ya Bunge, kukurupushiwa kukabidhiwa kwa rais, bila kujadiliwa na Bunge, hivyo Bunge kuonekana kana kwamba linajipendekeza kwa serikali, Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?.
Ni kukurupuka huku kulipelekea Bunge letu tukufu kupitisha azimio batili, Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? tena Bunge lilipaswa kunishukuru sasa mimi, ndiye niliyewatonya azimio hilo lao ni batili, na kuwatonya nini kinakwenda kulikumba Bunge letu kama azimio hilo lingetekelezwa Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba, ndipo alizimio hilo batili, likafichwa chini ya uvungu kimya kimya as if halipo!, na ripoti ile ikapokelewa, hivyo kulinusuru Bunge!.
Ni kukurupuka huko ndiko kulimfanya JYN kutamka maneno yale kwenye ule mkutano wake na Wagogo, na baada ya video kusambaa, akakurupuka tena kuomba msamaha batili, Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu! akina sisi, tukampa ushauri wa busara, achutame kwa kujiuzulu, Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere? lakini mwenzetu akakomaa na hadi baada ya kusoma bandiko hili Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away? ndipo akakubali kunyoosha mikono juu kwa kukurupuka Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!
Kwa vile ukurupuka huo umefanyika huku Dr. Tulia, akiwepo, na Dr. Tulia nae kuonekana kama mkurupukuja kwa kutaka "to eat her cake and have it", kwa kuutaka Uspika, huku ameukumbatia Unaibu Spika na kuuatamia!. Lakini kama ilivyo kwa JPM na Samia, JPM was JPM na Samia ame prove She is Samia, hivyo lets give her a benefit of doubt kuwa Tulia akitulia, kama lilivyo jina lake, ana fursa na anaweza kabisa kuwa Spika Bora.
Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Yaani wa hovyooooTena Kuna uwezekano Dr.Tulia akwa Spika wa hovyo zaidi ya Maspika wa wote kuwahi kuongoza Bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..hamfikii hata Job licha ya kufanya Maamuzi ya hovyo kulinda chama chake [emoji848]
View attachment 2092447
ambapo niliwaomba CCM ituteulie Spika Bora, kwasababu mteule wa CCM akiisha teuliwa na chama cha Mapinduzi, CCM, huyo ndie Spika, japo kwa sasa jina lililopendekezwa na CCM ni jina moja la Naibu Spika, Dr. Tulia Akson, kikao cha Wabunge wa CCM ambacho ndicho kilipaswa kiwe ni kikao cha uchaguzi wa jina moja kati ya majina matatu, kufuatia Dr. Tulia kuwa ni mwepesi sana kulinganisha na yale majina matatu, hivyo CC ya CCM, imeamua kukamilisha kazi ya jina moja, hivyo kikao cha wabunge wa CCM sio kikao tena cha uchaguzi, ni kikao cha kukamilisha tuu taratibu, na hata uchaguzi wa Spika utakaofanywa na Bunge la JMT, japo utakuwa ni uchaguzi kwasababu kutakuwa na wagombea wengine kutoka vyama vingine, lakini ukweli ni uchaguzi tuu wa kumthibitisha Dr. Tulia ili ni kukamilisha tuu taratibu, swali linabaki ni jee chaguo hili la Dr. Tulia ndiye Spika Bora?, au CCM imetuteulia tena Bora Spika?.
Lakini kama ilivyo kwa JPM na Samia, JPM was JPM na Samia ame prove She is Samia, hivyo lets give her a benefit of doubt kuwa Tulia akitulia, kama lilivyo jina lake, ana fursa na anaweza kabisa kuwa Spika Bora.
Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Naunga mkono hoja Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?Spika Tulia kaiva sana kwenye suala kutafiri Sheria, naangalia hapa Bunge live wanapitisha muswada wa tume ya uchaguzi naona anamtoa knout mpaka AG huyu dada ni balaa wabunge wote wanampigia makofi.
Mbeya tunasema Tulia mitano tena.
Unaonaje Paul Makonda??Naunga mkono hoja Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
Tena sio Tulia mitano tena bali 2025 could be ni Dr. Tulia!.
Angalia tulikotoka nae
1. Hivyo japo ni mimi niliyemtabiria Dr. Tulia uspika, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
2. Fursa ya Spika mpya ilipojitokeza, niliwaomba CCM Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?
3. Hivyo Dr Tulia aliposhinda nikamshauri Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!
4. Kwa vile Rais Samia amesisitiza 2025 twende na Mwanamke Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! wengi wanadhani Mwanamke wa 2025 ni lazima awe Rais Samia, anaweza kuwa ni Dr. Tulia!.
5. Sababu ya kwanini 2025 anaweza kuwa ni Dr. Tulia ni HII
P
Huyu ni jembe Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!Unaonaje Paul Makonda??
Najua kuna watu bado hawaamini hili linawezekana, naomba kuwathibitishia, lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!.- Kwanza alianzisha vita ngumu kuliko vita zote ni vita dhidi ya madawa ya kulevya ndipo mambo yakaanza Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
- Kisha media zikatishia kususia habari zake, Media kususia habari za fulani: Je, Tanzania tuna Independent Media yenye jeuri hiyo?
Watu wakaanza kusubiria atumbuliwe Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
- akatuhumiwa kufoji vyeti Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
- Kisha Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?
- Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
- Je, wajua Rais aweza kuteua yeyote hata darasa la saba?. Teuzi hizi hazihojiwi popote na yeyote!
Hivyo sasa bado kuna uwezekano Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Mkuu, analysis kama hii ndiyo inawafanya watu wakuweke kundi moja na machawa mazagazaga. Tulia kwa taaluma yake siyo mtu wa kushindwa kutofautisha wajibu na kazi ya mihimili mikuu mitatu ya dola. Wote tunajuwa kauli yake tata mbele ya Rais, sitaingia kwa undani.Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo 23/01/2022
View attachment 2092447
Leo ni mwendelezo wa mada ya wiki iliyopita kuhusu Spika Bora na Bora Spika, Kujiuzulu kwa Ndugai ni Mpango wa Mungu kwa Tanzania ili Tupate Spika Bora. Je CCM Ituteulia Spika Bora, au Bora Spika Kama Kawa?. Isipo...Karma Ita..
ambapo niliwaomba CCM ituteulie Spika Bora, kwasababu mteule wa CCM akiisha teuliwa na chama cha Mapinduzi, CCM, huyo ndie Spika, japo kwa sasa jina lililopendekezwa na CCM ni jina moja la Naibu Spika, Dr. Tulia Akson, kikao cha Wabunge wa CCM ambacho ndicho kilipaswa kiwe ni kikao cha uchaguzi wa jina moja kati ya majina matatu, kufuatia Dr. Tulia kuwa ni mwepesi sana kulinganisha na yale majina matatu, hivyo CC ya CCM, imeamua kukamilisha kazi ya jina moja, hivyo kikao cha wabunge wa CCM sio kikao tena cha uchaguzi, ni kikao cha kukamilisha tuu taratibu, na hata uchaguzi wa Spika utakaofanywa na Bunge la JMT, japo utakuwa ni uchaguzi kwasababu kutakuwa na wagombea wengine kutoka vyama vingine, lakini ukweli ni uchaguzi tuu wa kumthibitisha Dr. Tulia ili ni kukamilisha tuu taratibu, swali linabaki ni jee chaguo hili la Dr. Tulia ndiye Spika Bora?, au CCM imetuteulia tena Bora Spika?.
Wiki iliyopita nilisema Spika aliyetangulia hakuwa Spika Bora, bali alikuwa ni Bora Spika, hivyo ikitegemewa Naibu wake Dr. Tulia Akson pia atakuwa ni Bora Spika kwa kufuatia ile kanuni ya uwajibikaji wa pamoja ( a collective responsibilities), kwa makosa yote ya Bunge la JYN na naibu Spika Tulia, hivyo kati ya watu 70 waliogombea uspika kupitia CCM, miongoni mwao kuna watu mule wangetupatia Spika Bora kuliko Dr. Tulia, ila kwa vile aliyepitishwa na CCM ni Dr. Tulia, hivyo sasa Dr. Tulia Akson ndie Spika wetu.
Hii maana yake, ile sauti niliyoisikia hapa, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... ilikuwa ni sauti ya Mungu
Dr. Tulia Akson ndiye mpango wa Mungu kuwa Spika mpya wa Bunge la JMT.
Moja ya maeneo magumu sana ambayo sisi media yetu ya Tanzania haina, ni eneo la kitu kinachoitwa "analysis" yaani uchambuzi yakinifu. Mimi ni miongoni mwa waandishi wachache wa Tanzania, tunaofanya uchambuzi yakinifu, na mimi hufanya uchambuzi huu kupita humu jf, na kwenye makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazotoka kwenye gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili. Hivyo nilifanya uchambuzi yakinifu, ya majina hayo 70 waliojitokeza CCM, katika uchambuzi huo, jina la Dr. Tulia halikuingia hata kwenye 10 bora!, za mtu wa kuwa Spika Bora. Wajue the Top 10 wa CCM watakaotoa, the top 5, top 3 na the best Spika. Angalizo, si lazima the best ndiye awe Spika, bali the chosen one!, kwenye uzi huu, niliweka jina la mtu ambaye angekuwa the best kutupatia Spika Bora, ili pia nikaweka angalizo kuwa Spika wetu, atakayepitishwa, sii lazima awe the best, but the chosen one, hivyo aliyechagulia ni Dr. Tulia.
Mambo mawili kwake.
Kwanza kwa vile she was tainted na madhaifu ya Bunge lililopita, hivyo kuonekana Dr. Tulia kama ni another Bora Spika, let's give her the benefits of doubt, kwamba japo alikuwa Naibu Spika chini ya Bora Spika, akitegemewa na yeye atakuwa ni Bora Spika, kosa kubwa la mtangulizi wake ni kukurupuka, ni kukurupuka huko, kukafanya taarifa ya kamati teule ya Bunge, kukurupushiwa kukabidhiwa kwa rais, bila kujadiliwa na Bunge, hivyo Bunge kuonekana kana kwamba linajipendekeza kwa serikali, Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?.
Ni kukurupuka huku kulipelekea Bunge letu tukufu kupitisha azimio batili, Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG? tena Bunge lilipaswa kunishukuru sasa mimi, ndiye niliyewatonya azimio hilo lao ni batili, na kuwatonya nini kinakwenda kulikumba Bunge letu kama azimio hilo lingetekelezwa Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba, ndipo alizimio hilo batili, likafichwa chini ya uvungu kimya kimya as if halipo!, na ripoti ile ikapokelewa, hivyo kulinusuru Bunge!.
Ni kukurupuka huko ndiko kulimfanya JYN kutamka maneno yale kwenye ule mkutano wake na Wagogo, na baada ya video kusambaa, akakurupuka tena kuomba msamaha batili, Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu! akina sisi, tukampa ushauri wa busara, achutame kwa kujiuzulu, Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere? lakini mwenzetu akakomaa na hadi baada ya kusoma bandiko hili Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away? ndipo akakubali kunyoosha mikono juu kwa kukurupuka Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!
Kwa vile ukurupuka huo umefanyika huku Dr. Tulia, akiwepo, na Dr. Tulia nae kuonekana kama mkurupukuja kwa kutaka "to eat her cake and have it", kwa kuutaka Uspika, huku ameukumbatia Unaibu Spika na kuuatamia!. Lakini kama ilivyo kwa JPM na Samia, JPM was JPM na Samia ame prove She is Samia, hivyo lets give her a benefit of doubt kuwa Tulia akitulia, kama lilivyo jina lake, ana fursa na anaweza kabisa kuwa Spika Bora.
Pili tuahidi kumpatia kila aina ya Ushirikiano Spika Mpya Dr. Tulia Akson ili aweze kuwa Spika Bora.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Sasa Pascal unaenda mbali. Unataka kutuaminisha kurudishwa kwa Makonda na kateuliwa kuwa Mwenezi, Mungu kahusika? Kwa maana nyingine Samia ni Mungu. Hachana na siasa za kiwango hicho. Hitler aliyeuwa makumi elfu ya watu kule Ujerumani chama chake cha NAZI kilichaguliwa na wananchi. Je, Mungu pia alihusika?Huyu ni jembe Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
Na Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli na Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?
kwasababu hakuna mkamilifu, ila human beings are not static, they are dynamics and hence, they change with time. Kwa mapito aliyoyapitia amejifunza humility, he will be the best of the best!.
Ili kumjua vizuri, anzia hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Kisha Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Akawa RC wa DSM na akafanya makubwa ikiwa ni pamoja na kupitishwa kwenye tanuri la moto kupikwa akaiva kisawasawa
Kwa wale mnaopenda kujua mapito aliyo yapita karibuni pande hizi
Najua kuna watu bado hawaamini hili linawezekana, naomba kuwathibitishia, lisilo wezekana kwa binadamu, kwa Mungu linawezekana!.
P
Yes ni Mungu ndiye huziweka serikali za mataifa, hata Firauni aliwekwa na Mungu, hata Iddi Amini aliwekwa na Mungu!. JPM aliwekwa na Mungu, akatwaliwa na Mungu, Samia pia kaletwa na Mungu!. Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa hili atabarikiwa, Taifa litabarikiwa. Asante Mungu kwa Samia, Mungu mbariki Samia, Mungu ibariki Tanzania!Sasa Pascal unaenda mbali. Unataka kutuaminisha kurudishwa kwa Makonda na kateuliwa kuwa Mwenezi, Mungu kahusika? Kwa maana nyingine Samia ni Mungu. Hachana na siasa za kiwango hicho. Hitler aliyeuwa makumi elfu ya watu kule Ujerumani chama chake cha NAZI kilichaguliwa na wananchi. Je, Mungu pia alihusika?
Humjui MUNGU wewe,Daud alipowahesabu waIsrael MUNGU alishusha tauni maelfu wakafa,endelea kujifunza.Sasa Pascal unaenda mbali. Unataka kutuaminisha kurudishwa kwa Makonda na kateuliwa kuwa Mwenezi, Mungu kahusika? Kwa maana nyingine Samia ni Mungu. Hachana na siasa za kiwango hicho. Hitler aliyeuwa makumi elfu ya watu kule Ujerumani chama chake cha NAZI kilichaguliwa na wananchi. Je, Mungu pia alihusika?
Wanabodi,
.
Hii maana yake, ile sauti niliyoisikia hapa, Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... ilikuwa ni sauti ya Mungu
Dr. Tulia Akson ndiye mpango wa Mungu kuwa Spika mpya wa Bunge la JMT.
Hongera sana, Spika wetu mpya, Dr. Tulia Akson Mwansasu
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Naunga mkono hoja, niliwahi kusema humu, Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana! Kisha nikasema Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?Hili la kuwakemea Mabeberu huku unawaangalia usoni hata Mwanasiasa Maarufu mh Tundu Lisu haliwezi...