Je wajua 'porn' inaharibu msingi wa mahusiano ya kimapenzi?

Kuna virus kwenye computer yangu anaitwa porn,aisee mkorofi kweli!AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO.
 
Porn nyingi unajua hazifundishi namna ya kumridhisha mwenzako!Porn zinasaidia tu kuamsha hisia za kufanya mavituz,tena watu kibao wanoangalia porn huwa hawakumbuki hata kukariri styles wazionazo,mnaelewa bana,msijidai hamjawahi kuangalia!Belivdat
 
Hivi mwanamke au mwanamme ukimkuta mpenzi wako anapenda kuangalia porn unafanya nini? au unatakiwa ufanye nini?

a. Mwanamke anachukulia ni jambo la kawaida kwa wanaume kufanya hivyo na halina madhara yoyote?
b. Mwanamme anaweza kushangaa sana na kuona mke/mwanamke wake ana tabia za ajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…