Je, wajua: Rais mwenye rekodi ya dunia ya kuongoza muda mrefu

Je, wajua: Rais mwenye rekodi ya dunia ya kuongoza muda mrefu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Rais Omar Bongo wa Gabon ni Rais anayeshikilia rekodi ya dunia ya kuwa Rais aliyeongoza muda mrefu zaidi duniani. Rais huyo aliongoza Gabon kwa miaka 42 tangu Desemba 2, 1967 hadi alipofariki Juni 8, 2009.

Aikuwa akipita bila kupingwa kwa miaka ya awali walipokuwa na mfumo wa chama kimoja. Walipoanzisha mfumo wa vyama vingi mwaka 1993 akawa anashinda kwa ushindi mwembamba.

===
The longest-serving President in the world is Omar Bongo (b. 30 December 1935, d. 8 June 2009), who was President of the oil-rich central West African republic of Gabon from 2 December 1967 until his death in office in 2009. He was re-elected regularly unopposed at presidential elections every seven years under a single-party system until 1993, when he was returned with a narrow majority following the restoration of a multi-party system, and again in the subsequent elections of 1998 and 2005.
 
Kalikuwa pia katajiri sana hako kajamaa,kalipiga pesa nyingi sana na hakakuwa na mpango wa kuacha madaraka
 
Kwa sasa atakayeongoza atakuwa ni Teodoro Obiang Nguema Mbasogo wa Guinea ya Ikweta kama hatafariki karibuni au kujiuzulu. Aliingia madarakani 1979. Makamu wa Rais ni mtoto wake. Tume ya uchaguzi inaongozwa na mjomba wake ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.

Guinea ya Ikweta (Equatorial Guinea) nayo ina utajiri mkubwa wa mafuta, japo wananchi wengi wana umaskini wa kutupwa. Makamu wa Rais ni mojawapo ya wachache duniani wanaoponda kila aina ya raha na ukwasi mkubwa
 
al
alikuwa mzee wa toto's eee

sanaa, ma miss walimjua vizuri hasa wa ulaya huko,kuna manzi amewahi kusimulia (ni mzungu) aliitwa ikulu kwa Bongo baada ya vinywaji bongo akabonyeza remote mlango wa kioo ukafunguka manzi akaingizwa kwenye chumba cha rais
 
Mahakama ya ICC aikumuona, au ilikuwa na faida nae kipindi chote icho akiwa Rais wakupita bila kupingwa?

ukiwa mjanja hupelekwi ICC , Omar Bongo alikuwa ni mmoja wa marais wanaofadhili kampeni za ufaransa na marekani huko kwa siri, yani anampa tuseme Joe biden fedha za kampeni alafu Biden anahaidi akipita atamrinda , that is what happened back then
 
ukosahihi kabisa,ukiwa na maslai na mabeberu, tawala uwezavyo,uwa,minya watu kamawanavyofanya wakina Kagame,Museven.
lakini ukiminya maslahi yao hata ukiuwa mbuu tu basi watakupigia kelele za ajabu mpaka utashangaa.
 
ndio hivyo, Kagame anamsaidia beberu kuvuruga Congo, rais tshisekedi amebinya maslahi ya mabeberu tayari sasa hivi wameanza kumpigia kelele
 
Back
Top Bottom