Je wajua sababu kuu zinazochangia magonjwa ya moyo?

Josemyinga

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
15
Reaction score
22
Je wajua sababu kuu zinazochangia magonjwa ya moyo?

Asilimia 12%ya vifo nchini vimetokana na magonjwa ya moyo ikiwa ni idadi kubwa sana nchini ya vifo kila mwaka .Hivyo watu wengi wamekuwa wakiweka jitahada kutafuta matibabu ya matatizo haya kwa muda mrefu

Wakisukumwa na hofu iliyopo ndani yao ya kufariki muda wowote .

Wengine wakiwaza vipi kuhusu familia zao ,watoto ,Mama,Baba na mali zao walizozitafuta

Wengine wakizikatia tamaa ndoto zao za maisha kwa sababu ya magonjwa ya moyo yamekuwa yanatesa sana wakati fulani

Hivyo kupitia clinic yetu tunapima na kugundua matatizo yote na kutibu kwa dawa asili kabisa

Pia tunatoa ushauri juu ya mambo yafutayo

  • Msongo wa mawazo
  • Ulaji usio faa
  • Uzito kupita kiasi (obesity)
  • Kisukari
  • Shinikizo la damu
Hivi vimekua ni vyanzo vikuu vya magonjwa ya moyo nchini.Hivyo pale tu utakapo pima na kujua hali yako utaanza matibabu ya kuboresha na kama ugonjwa utakuwepo basi tunakuhakikishia utaanza matibabu na kupona kabisa

Pia utarudisha furaha na amani maishani mwako kwa kuishi bilaa hofu kabisa

Afya ya moyo wako inategemeana na chaguzi zako za kila siku ni muda wa kuchukua hatua na kuwekeza kwenye mitindo ya maisha yenye afya

Clinic nyingi hufanya vipimo hivi kwa gharama za 80000-120000

Lakin leo utaenda kupata kwa Tsh 40000

Na upate huduma hizi BURE

  • Vipimo.vya mwili mzima (100,000)
  • Daktari bingwa wa msongo wa mawazo(70000)
  • Mafunzo ya ulaji mzuri na kupunguza uzito kupita kiasi. (100000)
Mawasiliano:WhatsApp/call

0672784244/0610768180

KARIBU KATIKA CLINIC ZETU URUDISHE FARAJA MAISHANI MWAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…