Fluid ~wanaita ugirigiri,Torch~ wanaita kurunziNapenda lugha yetu (kiswahili) kwakuwa ina utajiri wa misamiati. Hivi unajua Vipukushi ndiyo Sanitizer?
Fluid ~wanaita ugirigiri,Torch~ wanaita kurunzi
pujo karibu sema kitu Babe
Teh teh teh, kiswahili ni kigumu asikwambie mtu. Maana misemo yake ni ufanye kazi uache kazi.Fluid ~wanaita ugirigiri,Torch~ wanaita kurunzi
pujo karibu sema kitu Babe