Je, wajua Simba hawajatoa mchezaji wala kocha Bora wa mwezi toka ligi ianze?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Saaaaam Wana Jf

Natumaini ya kuwa tupo salama na tunaendelea kusherekea ushindi tulioupata kwa Dodoma jiji ingawa goli moja la chama tulilipata baada ya kupiga mpira upiokufa (penalt)[emoji23][emoji23]
Nani anajali ....kikubwa point tatu

Lakini je wajua. ...tangu ligue ya NBC premier 2021/2022 ianze ndugu zetu. Makolo hawajatoa mchezaji wala kocha Bora wa mwezi kwenye tuzo za. TFF

Zaidi ya zile tuzo za madirisha ya Emirates .....Sasa sijui Hawa ndugu zetu Wana mpango wa kuanza kuuza ndege. ..(.jokes )

Je! tatizo ni nini ...haya ni baadhi ya majibu

1. Simba Wana kocha bora anaehusudu pira la tiktaka ambalo hapa bongo halijafika. (Kumbuka alikuwa msaidizi wa zidane )

2. Kutokana na pira la tiktaka ...anakwamishwa na wachezaji wazee..inakadiriwa umri wao. Kina onyango miaka 45
Boko .. 47.

By mchambuzi......

Taja sababu zingine

 
Kwani wametangaza lini wachezaji bora wa mwezi? Mwisho ilikuwa ni mwezi wa ngapi?
 
Kwani wametangaza lini wachezaji bora wa mwezi? Mwisho ilikuwa ni mwezi wa ngapi?
Kila mwez wanatangaza.... mwezi wa pili kachukua Ntibazonkiza.......kocha Bora ....nabi
 
Hivi unajua tuzo za Emirates zina thamani kuliko hizo za TFF?
 
Club nyingi za ulaya tumezizidi afu hilo hujaliona unakuja kumtaja mazembe

Club hizo za ulaya tulizozizidi zimetulia na kukubaliana na statistics we unakuja kusema habari za tp mazembe hapa, nani atakuelewa?
Itakua ime editiwa hyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…