Viazi lishe ni aina ya viazi vitamu vyenye very high carotene na fibres with Vitamin A
Vinasaidia mtoto kutokudumaa . pia huongeza uwezo wa nguvu za kiume yaani more fire kurudisha heshima nyumbani.
Unaweza pika vyakula vya aina mbalimbali
Unaweza chemsha pika mikate chapati kutengeneza juice nk
Sh 2000Tsh kg moja
Ukichukua kuanzia kg 30 ni sh 1800Tsh.
Pia tunauza kwa jumla kwa wale wafanyabiashara wa reja reja.
We ship kokote unalipia
0783577545
Tutoke Farm
Morogoro