Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Je, wajua hapa Tanzania kuna baadhi ya mikoa ukiwa mstaarabu sana kutoboa kwako itakuwa ngumu sana au mwenendo mzima katika harakati zako za maisha katika utafutaji itakuwia ngumu sana. Bila kuwa mbabe na kuwa kauli za hovyo sehemu hizo utakimbia mwenyewe.
Mfano Geita maeneo yote yaliyozungukwa na migodi, Mpanda, Katavi, Kanda ya Ziwa. Maeneo yote yaliyozungukwa na visiwa pamoja na sehemu yoyote ile iliyojaa wanachama wa CCM.
Mfano Geita maeneo yote yaliyozungukwa na migodi, Mpanda, Katavi, Kanda ya Ziwa. Maeneo yote yaliyozungukwa na visiwa pamoja na sehemu yoyote ile iliyojaa wanachama wa CCM.