Je, wajua; Tarehe ya leo (22/2/22) inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza maana

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Leo ni Siku ambayo Mpangilio wa tarehe ni 22/2/22. Siku hii ni Palindrome kwasababu Namba inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza thamani

Siku hii pia ni 'Ambigram' ambayo humaanisha sanaa inayoweza kufanya neno au namba lisomeke juu chini, na chini juu

Inaripotiwa kuwa mamia ya watu katika Nchi mbalimbali wamepanga kufunga Ndoa kwenye tarehe hii ya kipekee

======

Today, 22 February, 2022, is once-in-a-lifetime-day when the date numbers line up to be 22/2/22. The date is called a symmetrical or palindrome because the numbers read the same backward and forward. With 22/2/22 falling on Tuesday, social media users have have dubbed it Twosday.

Although there is no historical significance, but it’s a fact that this special line-up for number 2 will take place again only after 200 years. According to astrology, the “number 2 signifies the union of two people or two ideas and is a day about collaboration and community.”

The last time a palindrome date took place was on 11 January 2011, i.e. 11/1/11 and the next time it will happen again after 11 years on 3 March 2033, i.e. 3-3-33.

Many people around the world have special plans to celebrate this once-in-a-lifetime-day.

According to The Star newspaper, hundreds of couples in Malaysia have plans to tie the knot on 22/2/22.

1645516801006.png
 
Today's-date-is-both-a-palindrome-and-an-ambigram.jpg
Leo ni Februari 22, 2022, tarehe ambayo pia unaweza kuiandika 22022022. Sasa maajabu ya tarehe hii ni kwamba, unaweza kuisoma kuanzia nyuma kwenda mbele na ikabaki na maana ileile, kwa Kiingereza inaitwa Palindrome Date.

Si hivyo tu, bali tarehe ya leo, pia inaweza kusomeka vilevile endapo ukiigeuza juu chini, na hali hii kwa Kiingereza huitwa Ambigram.

Kama huamini bado jaribu mwenyewe, tarehe ya leo inabaki kuwa na maana ileile kama ukiisoma kinyumenyume kuanzia kulia kwenda kushoto lakini pia inabaki na maana ileile kama ukiisoma juu chini! Ni nadra sana kutokea tarehe kama ya leo!

Happy 'twosday' 22022022!
 
Leo ni Siku ambayo Mpangilio wa tarehe ni 22/2/22. Siku hii ni Palindrome kwasababu Namba inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza thamani

Siku hii pia ni 'Ambigram' ambayo humaanisha sanaa inayoweza kufanya neno au namba lisomeke juu chini, na chini juu

Inaripotiwa kuwa mamia ya watu katika Nchi mbalimbali wamepanga kufunga Ndoa kwenye tarehe hii ya kipekee

======

Today, 22 February, 2022, is once-in-a-lifetime-day when the date numbers line up to be 22/2/22. The date is called a symmetrical or palindrome because the numbers read the same backward and forward. With 22/2/22 falling on Tuesday, social media users have have dubbed it Twosday.

Although there is no historical significance, but it’s a fact that this special line-up for number 2 will take place again only after 200 years. According to astrology, the “number 2 signifies the union of two people or two ideas and is a day about collaboration and community.”

The last time a palindrome date took place was on 11 January 2011, i.e. 11/1/11 and the next time it will happen again after 11 years on 3 March 2033, i.e. 3-3-33.

Many people around the world have special plans to celebrate this once-in-a-lifetime-day.

According to The Star newspaper, hundreds of couples in Malaysia have plans to tie the knot on 22/2/22.

View attachment 2127042
Leo ni tarehe 22/02/2022
 
Hii ndio sababu threesome yangu na wale dadaz bestiz wangu niliipanga leo nashukuru tupo wengi wenye kujua hii tarehe ya malove love
 
Sijui nifanye jambo gani la hii kumbu kumbu mujarabu! Acha nipande miti kama mi4 hivi najua haiwezi kufa yote.
 
Leo ni Siku ambayo Mpangilio wa tarehe ni 22/2/22. Siku hii ni Palindrome kwasababu Namba inaweza kusomeka kwa kwenda mbele au kurudi nyuma bila kupoteza thamani

Siku hii pia ni 'Ambigram' ambayo humaanisha sanaa inayoweza kufanya neno au namba lisomeke juu chini, na chini juu

Inaripotiwa kuwa mamia ya watu katika Nchi mbalimbali wamepanga kufunga Ndoa kwenye tarehe hii ya kipekee

======

Today, 22 February, 2022, is once-in-a-lifetime-day when the date numbers line up to be 22/2/22. The date is called a symmetrical or palindrome because the numbers read the same backward and forward. With 22/2/22 falling on Tuesday, social media users have have dubbed it Twosday.

Although there is no historical significance, but it’s a fact that this special line-up for number 2 will take place again only after 200 years. According to astrology, the “number 2 signifies the union of two people or two ideas and is a day about collaboration and community.”

The last time a palindrome date took place was on 11 January 2011, i.e. 11/1/11 and the next time it will happen again after 11 years on 3 March 2033, i.e. 3-3-33.

Many people around the world have special plans to celebrate this once-in-a-lifetime-day.

According to The Star newspaper, hundreds of couples in Malaysia have plans to tie the knot on 22/2/22.

View attachment 2127042
Malizia kuandika hii inatokea kila baada ya miaka elfu 3.
 
11011011 the last one.
Hii ilikuwa ya kwanza, tarehe ya leo inakuwa ya pili, then there will never be a third one coz hakuna tarehe 33 kwenye calendar labda wabadilishe calendar miaka ya mbeleni.
 
mbona tunataka kulazimishana uongo hiyo ni tarehe 22/2/2022 na sio 22/2/22
kwa akili zangu nakata 22/2/2022 haiwezi kusomeka kinyume ikaleta maana sawa
 
Kwa hiyo tukapange foleni wapi kupokea buku 2 mbili???
 
Back
Top Bottom