jayleoncy112
Senior Member
- Jul 17, 2016
- 164
- 73
HaswaaaaJe unajua ungetuletea majibu ya hayo maswali yako tungeshukuru?
Mweh!Katika siku za hivi karibuni tangu mwaka 2011 na kuendelea ndipo teknolojia ilikua kwa kasi nchini. Maana yangu kubwa ni kwamba teknolojia ni ajira kubwa sana kwa sasa hapa mjini.
Je unajua unahitaji mtaji wa sh. lak 5 tu kuanza biashara. Je wajua masoko ya teknolojia yako wapi?
Hebu naomba maoni yenu kama mnahitaji kujua haya yote
ok nmegundua mnahitajibelimu hii bas kaavtayar weekend hii naanza kuchapisha makara nzur za hii ishu
typing errorMakara