mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,345 Reaction score 56,148 Apr 10, 2025 #1 Shabiki wa Man City unayedhani Simba na Yanga kukosa viwanja ni dhambi jitafakari. Chama lenu halina uwanja Etihad unamilikiwa na nanispaa ya jiji la Manchester
Shabiki wa Man City unayedhani Simba na Yanga kukosa viwanja ni dhambi jitafakari. Chama lenu halina uwanja Etihad unamilikiwa na nanispaa ya jiji la Manchester
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Apr 10, 2025 #2 Inasikitisha!
K kulabu JF-Expert Member Joined Feb 5, 2025 Posts 417 Reaction score 352 Aug 2, 2025 #4 Manispaa ya Jiji!! Mmh hilo neno la wapi?
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Aug 2, 2025 #5 Bado haitoi uhalali wa kukosa kiwanja kama kile Cha kmc au chamazi Tanzania sio england Tz bado mapori Yako mengi Kila Kona kariakoo penyewe bado Kuna vichaka
Bado haitoi uhalali wa kukosa kiwanja kama kile Cha kmc au chamazi Tanzania sio england Tz bado mapori Yako mengi Kila Kona kariakoo penyewe bado Kuna vichaka