environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
Utamaduni wa kazi na ajira ulianzishwa na wakoloni, miaka hiyo tuliwafanyia kazi bure bila ujira, unapoulizwa uzoefu maana yake kama miaka ya uzoeu ni muhimu mtu mwenye umri wa miaka mia hamsini (150) atakuwa na uzoefu zaidi, lakini kiuhalisia mtu huyo atakuwa amezikwa kabla hajatimiza umri huo.
Nchi zinazoendelea zimejiwekea akiba ya kutosha kwenye tafiti na maendeleo. Kujifirikisha ili uvumbue kitu au njia mbadadala ya kufanya kazi fulani kunahitaji changamoto na kujifirisha upya.
Uzoefu unaweza kuwa mara nyingi kufanya kitu kile kile bila mabadiliko. Naona afrika tumewaiga wazungu hasa waingereza katika maisha yetu ya kila siku naamini tanzania itakayo kuwa mfano wa kuigwa katika ulimwengu huu juu ya kuishi kwa mawazo mapya na mpangilio tofauti wa kujenga taifa kwa kujitegemea kimawazo na kiuchumi.
Ni muhimu kuwa na watu wasio na uzoefu ili wajifunze jinsi ya kufanya kazi.