Je, wajua umaarufu wa Mlima Ararat ni wa kipekee kabisa?

Kwa hiyo baada ya gharika Nuhu na familia yake wakaijaza tena dunia? Asee stori zenu nyie watu!!
unajifanya kutumia akili kishenzi,ila hata ukiulizwa hapo asili yako ni nani,majibu huna.
 
Nashauri usijibiwe,

Maana wachigoma Kwa ubishi hamjambo,

Natania tu mtani!!
 
Wapagani (watu wasioamini uwepo wa Mungu) wameongezeka sana hapa jukwaani. Halafu Mungu mwenyewe anawa-zoom tu, aiseee! mtakoma siku hiyo.
 
Naomba kujuzwa ukubwa wa safina na idadi ya wanyama walio ingia. Walikula nini waliishije n.k
Kulingana na maandiko safina ilikuwa na urefu wa mikono mia 3 na upana wa mikono 50 kwenda juu ilikuwa mikono 30
 
Najaribu kuwaza huyo mzee nuhu alivyoanza kumvizia ngedere hadi akamshawishi kuingia kwenye hiyo safina
 
Kulingana na maandiko safina ilikuwa na urefu wa mikono mia 3 na upana wa mikono 50 kwenda juu ilikuwa mikono 30
Hapo wanaingia wanyama wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…