CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Huku Arusha huwa naona mabas yanapakia sana Karoti kupeleka maeneo kama Singida, Dodoma, Tabora huko na kadhalika.
Karotu ni biashara kubwa sana kwa huu ukanda wa kaskazin na karoti nyingi sasa zinatoka au zinauzwa nje ya Arusha hasa hio mikoa tajwa hapo juu.
Ila eneo kama Dodoma ukiamua kuwekeza unaweza zalisha karoti pale hii ni panoja na Singida au hata huko Tabora.
Unacho weza kufanya ni kuhamisha udongo na kuleta Udongo unao sapoti kilimo cha Karoti, hapo ndio kidogo mtihani, na inahitajika uwekezaji mkubwa sana ingawa return itakuwepo mapema. Unaweza chukua Udongo Arusha kwa kuusomba na roli na kwenda kuuweka shambani, sasa hapa inabidi upige hesabu ni roli ngapi utahitaji kwa eneo gani.
NB Kakama una mtaji na unataka kulima unaweza fanya hivyo, pia unaweza piga hesabu ni ipi nafuu, kulimia maeneo ambako udongo una sapoti zao au kuhamisha udongo, hapa inabidi kukaa na kalamu na karatasi sasa.
Hii sio kwa Karoti pekee hata Viazi mvirungo make udongo wa karoti unafaa pia kwa viazi mviringo.