Je, wajua Usaliti kwa taifa lako adhabu yako ni kifo?

Je, wajua Usaliti kwa taifa lako adhabu yako ni kifo?

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Haya mambo yanaweza kuangamiza maisha yako ndani au nje ya taifa lako.
Kulisaliti Taifa lako nakutoa taarifa muhim kwa maadui wa taifa au wageni
Kuvujisha siri za taifa ukiwa ndani ya vitengo vya siri aga kabisa ndugu.
Kupanga kwa siri au shawishi watu kuipinduwa serikal Wala usiage maana hutorudi
Kupanga Conspiracy br huwenda hata kabur tusilione
Kuwa double agent ukajulikana mpendwa atakaye kuwahi basi ndio mwisho wako.
Kutoa siri ya mpango kazi wa serikal ambao ni siri.
Kutumia dini kuwagawa watu ukitumika ndugu utabaki histori.
Kuitia serikal hasara ambayo ni kubwa na inatisha usalma wa taifa bye bye.
Kudanganya amakufoji siri kwaheri.
Kuingia eneo la jeshi ambapo panakibao usiingie au usipige picha mpendwa ukipona utasimulia vizaz vyote ila unaweza usirud.
Kuna maeneo ya jeshi ukiingia huwez kurudi hata useme nini.
Ongezea.......
 
Kuwatetea waizi wa rasilimali
kumsaidia muuza madawa ya kulevya
Kuficha ukweli
 
Kwani bei ya mbaaazi huko kwenu shilingi ngapi kwa kilo
 
Hapo kwenye maeneo ya jeshi nimeshindwa kupaelewa vizuri, embu niweke wazi kidogo kuwa ni eneo gani la jeshi nikiingia kwa bahati mbaya ata nikijieleza kwa namna gani siwezi kueleweka.
 
Sasa kama serikali ndi inalisaliti taifa.?? tumuue Mkulu au serikali yote? nawaza tu
 
Back
Top Bottom