Je wajua wali unaweza kukuua

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
Chakula kikiingia kwenye mlango wa hewa (koo la hewa au trachea), hali hiyo kitaalamu inaitwa kukaba au asphyxiation. Hii hutokea kwa sababu njia ya chakula na njia ya hewa zinachepuka sehemu moja kooni, na vali ndogo iitwayo epiglottis isipofunga vizuri wakati wa kumeza, chakula huingia upande usio sahihi.

Tuwe makin tusile huku tunaongea njia ya hewa itakua waz utakufa gafla watu waseme umelogwa
 

Attachments

  • Screenshot_20260826_202145_Instagram.jpg
    63 KB · Views: 13
Sawa mkuu, ila wali n mtamu sana!
 
Hiyo picha ingefaa ionekane hadi usawa wa magoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…