Prince M Mwakyusa JF-Expert Member Joined Jul 2, 2015 Posts 374 Reaction score 184 Jan 21, 2016 #1 1.kila mwanadamu ana harufu ya peke yake ( mfano jasho) hata mkiwa mapacha kila mtu atanuka kivyake 2. Hakuna Mwanadamu alie wahi kuwaona paka wakifanya mapenzi 3. 4. 5........ONGEZA YAKO
1.kila mwanadamu ana harufu ya peke yake ( mfano jasho) hata mkiwa mapacha kila mtu atanuka kivyake 2. Hakuna Mwanadamu alie wahi kuwaona paka wakifanya mapenzi 3. 4. 5........ONGEZA YAKO
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Jan 21, 2016 #2 Utafiti wako umeufanyia wapi na lini? Mimi nimeshawahi kushuhudua Zaidi ya mara moja hiyo namba mbili.
Utafiti wako umeufanyia wapi na lini? Mimi nimeshawahi kushuhudua Zaidi ya mara moja hiyo namba mbili.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jan 21, 2016 #3 we hiyo no 2 nshawahi kuishuhudia au unamaanisha kivip..?