mkolaj JF-Expert Member Joined Mar 24, 2014 Posts 3,023 Reaction score 1,089 Apr 29, 2016 #1 Je wajua? Klabu ya Simba imepoteza jumla ya mechi tatu (3) msimu huu katika Uwanja wa Taifa, Ligi Kuu, na timu zote zilizoifunga zinatumia jezi za rangi ya njano na kijani. Unadhani kwanini!!!!!!!!!
Je wajua? Klabu ya Simba imepoteza jumla ya mechi tatu (3) msimu huu katika Uwanja wa Taifa, Ligi Kuu, na timu zote zilizoifunga zinatumia jezi za rangi ya njano na kijani. Unadhani kwanini!!!!!!!!!
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Apr 30, 2016 #2 Na kama wanajua umezidi kuwajuza.