_KWA TAARIFA YAKO_
*Nyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha ufariki dunia.*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] *ingekuwa na ss binadamu ndo tunakuwa hivyo kuna watu wangekufa wako darasa LA kwanza* [emoji125][emoji125][emoji125]