Je! Wajua.......?

Je! Wajua.......?

Lenjo

Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Wajemeni wasomi wenzangu na hasa wale wakokotoaji naombeni mnasaidie hili tatizo hapa.
Kuna majibu mangapi katika swali hili?
(√16-√9).naomba mnionyeshe cause nimebishana sana na folks kuhusu hili.
 
√16 = +/-4
√9 = +/-3

4+3=7; 4-3=1; -4+3=-1; -4-3=-7
majibu manne...
 
√16 = +/-4
√9 = +/-3

4+3=7; 4-3=1; -4-3=-7
majibu manne...

kutokana na unyambulishaji wako wa hayo majibu, basi kutakuwa na majibu matatu tu
4+3=7; 4-3=1; -4+3=-1;
 
kutakuwa na jibu moja tu: sqrt ya 16 ni 4 na sqrt ya 9 ni 3.Hivyo 4-3=1. +/- zinakuwa applicable wakati una-apply sqrt kila upande wa equality sign when solving for a variable. Upoooo!!!!
 
Nope!! Hiyo hesabu unaifanya kwenye level ipi ya elimu?
Jamaa kakupa jibu zuri la kitaalam nawe unabisha ...... duhh!

Maelezo yako ni sawa kwa hesabu za kuanzia darasa la pili hadi form four za kata. Zaidi ya hapo ..... Think big ndugu!

I support you!!
 
If you go beyond that,.......apply complex,yeah.
 
Mimi hapa kappa,...............................................trial does not balance
 
Back
Top Bottom