Je,wajua?

Yudah

Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
25
Reaction score
21
Pichani
[emoji652][emoji652][emoji652]
Hii ilikuwa ni ibada iliyoitwa QHAPAC BUCHA au CAOACOCHA .ibada hii ilikuwa maalumu ikifanywa na watu jamii ya INCA karne ya 15 huko COLOMBIA ,walikuwa wakiwatoa sadaka watoto wao kwa miungu yao waliyokuwa wakiiamini. Zaidi ya watoto 140 walikuwa wakitolewa sadaka kila mwaka katika ibada hizo.

#NOW_YOU_KNOW


ahsanteni
 
Hawakauwa freemason hawa?
alisikika mwehu mmoja kule kisiwani Ryegoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…