Je wajua?

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
756
Inasemekana kuwa Watu toka Nchi Fiji asili yao ni Tanganyika!Walikuwa wakiambiwa na Mababu zao kuwa asili yao ni Tanganyika!Nimejaribu kuongea na wenyeji wahuko kupata ukweli na wakanithibitisha kuwa ni kweli.ila ukijaribu ku- Google ni tofauti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…