Dr.Mwakasege
Member
- Jan 30, 2013
- 10
- 0
kwanini baadhi ya dawa zinaandika (tumia baada ya kula)?
Doctor anapokupa dawa na kuandika maneno yale anakuwa anatambua ni Acid kiasi gani inapatikana katika kidonge hicho.
Sasa pale unapo fanya kinyume ni dhairi kwamba kuna uwezekano wa kupata madhara,kwasababu vidonge vya namna hii huwa na acid ambayo huwa inameng'enya chakula kwa haraka sasa pindi unapo kunywa bila kuwa na chakula Tumboni kinacho fanyika ni kwamba hicho kidonge kitaanza kukwangua Utumbo na hivyo kusababisha vidonda vya Tumbo.