mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Ni chuo gani ambacho kinatoa kozi unique ambazo vyuo vingne visingethubutu kutoa Tanzania.? Kozi ambazo Africa mashariki n kati zinaptkn vyuo viwili two .... Kozi ambzo certificate zake hazipo wala hauwezi kusikia kitu kama diploma.. Kozi marketable kamwe hazichuji kozi sio kama magubegube rahisi kuzimudu kizembe koz interview watu wengi ni 50 kozi rahisi kujiajiri kozi kozi kwli si chuo kingine chenye jeuri hyo ni ARDHI UNIVERSITY PEKEE