mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Utaishia hapo tu!
Zingine mbwembwe tu.Nitajie vyuo vinavyofundisha kozi inayoitwa LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT kwa afrika mashariki.
Ni chuo gani ambacho kinatoa kozi unique ambazo vyuo vingne visingethubutu kutoa Tanzania.? Kozi ambazo Africa mashariki n kati zinaptkn vyuo viwili two .... Kozi ambzo certificate zake hazipo wala hauwezi kusikia kitu kama diploma.. Kozi marketable kamwe hazichuji kozi sio kama magubegube rahisi kuzimudu kizembe koz interview watu wengi ni 50 kozi rahisi kujiajiri kozi kozi kwli si chuo kingine chenye jeuri hyo ni ARDHI UNIVERSITY PEKEE
Zingine mbwembwe tu.Nitajie vyuo vinavyofundisha kozi inayoitwa LOGISTICS AND TRANSPORT MANAGEMENT kwa afrika mashariki.
vyuo kibao....na hio course sio marketable in tz.
samahani lakini
"Quantity surveyor " wanapatikana only Ardhi university and university of Nairobi , Africa mashariki na kati....!starting salary 3m take home 2.4m noma sana
source :architect and quantity surveyor registration board (AQSB)
building economics ya ardhi pia ipo vizuri zaidi tena soko bado linadai huduma yao[/QSURVEYOR.
Bsc. Bulding economics ni course na professional name la mtu anayesoma hio course ni QUANTITY SURVEYOR
hope umenipata mkuu.
Yap me npo mwka wa tatu be mzee
kusikia ni moja kuelewa ni mbili lakini kulifanyia kazi ni swala lingine
Ni chuo gani ambacho kinatoa kozi unique ambazo vyuo vingne visingethubutu kutoa Tanzania.? Kozi ambazo Africa mashariki n kati zinaptkn vyuo viwili two .... Kozi ambzo certificate zake hazipo wala hauwezi kusikia kitu kama diploma.. Kozi marketable kamwe hazichuji kozi sio kama magubegube rahisi kuzimudu kizembe koz interview watu wengi ni 50 kozi rahisi kujiajiri kozi kozi kwli si chuo kingine chenye jeuri hyo ni ARDHI UNIVERSITY PEKEE
sijaelewa chochote kwa haya maelezo yote,hebu zitaje hizo kozi na msingi wa hoja yako.Ni chuo gani ambacho kinatoa kozi unique ambazo vyuo vingne visingethubutu kutoa Tanzania.? Kozi ambazo Africa mashariki n kati zinaptkn vyuo viwili two .... Kozi ambzo certificate zake hazipo wala hauwezi kusikia kitu kama diploma.. Kozi marketable kamwe hazichuji kozi sio kama magubegube rahisi kuzimudu kizembe koz interview watu wengi ni 50 kozi rahisi kujiajiri kozi kozi kwli si chuo kingine chenye jeuri hyo ni ARDHI UNIVERSITY PEKEE
nimesoma ila sijaelewa kitu, nimetaka ufafanuzi kwanza kabla ya kuchangia.
Huu sasa utoto i'm out.