Je, wajua?


Namba 1. Inaonyesha anadanganyika
Namba 2. Inaonyesha anashawishika
 
ndo manake ata wewe pia ntakunyima ila ntakupa reply tu katika post..papa mopaooooooooooooooooooooo aaaaanhaaaaaaaa...........niendelee?

We ngoja nitakunyima na wewe mpaka basi yaani! Au kuna mengine unataka uninyime?
 

§mi naona kama mtu anakila kitu anapomfuata mwenye kumpa vocha ya 1000 anakua hajadanganyika bali anakua kaamua tu mwenyewe.na hiyo ina maana yuko na huyo anayempatia kila kitu kwa sbb za kutaka hivyo vitutu lkn hana mampenzi naye ya kweli.
 
We ngoja nitakunyima na wewe mpaka basi yaani! Au kuna mengine unataka uninyime?
kwan nini ulipewa mpk vingne unyimwe?
papaa mopaoooooooooooooooooooo anhaaaaaaaaaaaaa..............!!!!!!!!!!!
 
We muache tu,.......tukiimimba hapa asitulaumu.
dah paka mweusi jaman ungenipa iyo mimba ningefurahi wewe yan acha tu m grwn up 27yrs m capable kuilea wtht msaada wako ata km unauza mintanunua kwan mimba 1 unauza sh mgap paka mweusi?
nataka nizae mtoto mweus thats y mweupe nnae papa mopao aliniuzia juz!!!
 
Unalea mimba kwa muda gani? Au wewe ni malkia wa mchwa.....!
 

Ni ukweli usiopingika, kuna majirani zangu, mume anampa kila kitu, kuanzia gari, nyumba nzuri sana, watoto wazuri, na wanasoma shule nzuri, yeye mwenyewe kafunguliwa biashara, ana uhuru kupitiliza mume wake anaonekana kumwamini sana, lakini mrs. kicheche balaa. Nyumba za watu ziacheni zilivyo jamani. Nilitokea kuzoeana na shoga yake, kumbe shoga yake nae alikuwa hapendi yule mama anavyofanya yaani hana cha hapana, yeye ni mrembo kwa kweli sasa mwanaume akimsifia tu halafua ampe ofa anatoa mzigo. Eti alikuja kumwambia shogayake mume wake shughuli za utafutaji zimem-bana sana kwa hiyo chakula ya wakubwa huwa haipo ndio kisa cha huyu dada kufanya haya yote. Wanaume chonde chode hata kama unashughuli namna gani mjitahidi kuwaridhisha wake zenu, vinginevyo atakuwa anakuchekela hukua anakuzomea kimoyomoyo. Wakati wewe unaenda kumtafutia mijihela yeye anakipeleka kwingineko kikasaidiwe.
 


Je huu Utafiti wa Steadman??????????????????
 

mwaego usiitoe hiyo avatar yako, mi inanisevu kichizi kwani namaliza kabisa mambo yangu kwa kuiona tu!
 
mwaego usiitoe hiyo avatar yako, mi inanisevu kichizi kwani namaliza kabisa mambo yangu kwa kuiona tu!
Ama kweli wewe hauhitaji hata maandalizi, wala STDs hupati kamwe...! Hayo ni mambo ya self service....!
 

Haaa!!! We we we we weee! Mweupe??? Mweupeeeee???? Haya hebu twende tukazungumze kwanza....
 

Naogopa kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…