J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 21, 2020 #1 Nimeona zoezi la kupitisha majina ya wagombea ujumbe wa baraza la wawakilishi kule Zanzibar limesogezwa mbele kwa sababu ratiba za NEC na ZEC ni tofauti. Swali: Je, hao wawakilishi watapitishwa na NEC ya Zanzibar pekee? Maendeleo hayana vyama!
Nimeona zoezi la kupitisha majina ya wagombea ujumbe wa baraza la wawakilishi kule Zanzibar limesogezwa mbele kwa sababu ratiba za NEC na ZEC ni tofauti. Swali: Je, hao wawakilishi watapitishwa na NEC ya Zanzibar pekee? Maendeleo hayana vyama!
shabiki JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 965 Reaction score 896 Aug 21, 2020 #2 Subiri kidogo!