Je, wajuzi mna nini cha kusema kuhusu mawe haya?

Nilisikia some elements za mawe zina emit positive vibration... Ndo maana watu wanapenda kuvaa Gold, sio tu kuonekana wanahela, ila Kuna higher vibration kwenye gold... Ili react na energy field ya mwili mtu akakuwa awekened kwa namna moja ama nyingine
 
Hongera lakini hapo kuna mawe mengine kabisa tofauti na Gold.
 
Huo sio mkufu wa rozari wala tasbihi
Labda Ina kazi maalum
Ila hayo mawe meusi siyajui hata kwa kuyafananisha 😳
 
Huo sio mkufu wa rozari wala tasbihi
Labda Ina kazi maalum
Ila hayo mawe meusi siyajui hata kwa kuyafananisha 😳
Jiwe jeusi ni moja tu.soon nitapata maana yake lakini hayo mengine ni mwonekano wa chuma kinachong’aa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…