Je wakati sahihi wa kupisha?

Je wakati sahihi wa kupisha?

Inalipa

Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
63
Reaction score
77
Ni deus kaseke mchezaji ambaye kuna wakati timu ilionekana kumuhitaj hasa ilipokuwa kwenye kipindi kigumu

Je wakati sahih wa kupisha ili ipatikane changamoto mpya?
172894746.jpg
 
Mbona anasubiria tu kutambulishwa Singida Big Stars! Kwa namba anayocheza, hana budi kutafuta changamoto mpya.
 
Back
Top Bottom