Martin Maqway
Member
- Sep 22, 2013
- 19
- 2
Jeshi la polisi halitakiwi kuhusishwa na siasa,Tanzania tumeliunganisha jeshi la polisi kisiasa kwa namna moja au nyingine,Kisheria wakuu wa mikoa na wa wilaya wao c watendaji bali wao ni wanasiasa,ni vigumu mwanasiasa kuongoza jeshi ambalo jeshi hilo linalinda usalama wa raia wote haijalishi wa chama gan!.Nimezungumza haya kutokana na lawama wanazopewa jeshi letu la police,Katka mfumo 2lionao jeshi la police haliwezi kuwa kamata wahalifu wakuu wa chama ambach kipo madarakani kwa vile police order zake zko mikonon mwa wanasiasa ambao ndo watawala.Kwa namna hii napendekeza katka KATIBA MPYA jeshi la police liwe huru lijitegeme lenyewe ktka utendaji!