VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
Safari ya hivi huwa haichoshi, ni kama adventure flani hivi tofauti na safari ya mabasi. Natamani ningekuwepo kwenye hiyo safari.
Wakina Frank Yanga Wakali wa VIP B? Wale ni Madereva wa Mabasi ya Mikoani hasa Dar Kanda ya Ziwa,pia huwa wanaendeshaga Bus la Yanga la kubeba mashabiki. Wale ni Icon ya timu kwa hiyo huwa wanalipiwa na club.Kuna jamaa kama watatu hivi, mmoja ana macho madogo ni mashabiki kindakindaki wa yanga. Kila game wapo. Nimekosa picha yao ningeweka hapa
Au ww ndio Frank mwenyewe[emoji23]Wakina Frank Yanga Wakali wa VIP B? Wale ni Madereva wa Mabasi ya Mikoani hasa Dar Kanda ya Ziwa,pia huwa wanaendeshaga Bus la Yanga la kubeba mashabiki. Wale ni Icon ya timu kwa hiyo huwa wanalipiwa na club.
Kula na kulala ni kujitegemeaHabari za jioni Watanzania wenzangu.
Kwa miaka ya hivi karibuni mpira wa Nchi yetu umechangamka sana. Vilabu vyetu Simba na Yanga si tu vinaogopeka baki pia vinacheza mpira wa kuvutia kwa viwango vyetu vya Afrika.
Suala hili limepelekea watanzania rika na jinsi tofauti kuonesha kusupport angalau kushangilia vilabu hivi viwapo nchini au nje ya nchi.
Kwa nyakati hizi Simba watakuwa ZAMBIA Yanga watakuwa RWANDA. Nimepitia Page za hizi klabu zote mbili kila upande umeandaa usafiri. Yes Usafiri wa kwenda Zambia (SIMBA) na KWENDA RWANDA (YANGA) usafiri husika ni nauli na ratiba ya safari vimewekwa.
AMBACHO BADO NATAMANI KUFAHAMU SASA.
JE, MASHABIKI AWA WATAKAO ENDA WATAKULA WAPI?
WATAKULA NINI?
WATALALA WAPI?
WATAFIKIA WAPI?
NINA IMANI HIZI SAFARI SIO MARA YA KWANZA ZINAFANYIKA WENYE UZOEFU NAOMBA MTUPE MWANGAZA. KUMBUKUMBU ZANGU ZINANIONESHA KUNA KIPINDO YANGA WALIENDA NA NDEGE YA SERIKALI AFRIKA KASIKAZINI MWAKA JANA.
NIKO INTERESTED KWENDA RWANDA BUT BEFORE NATAMANI KUPATA TARIFA KUHUSU MAMBO TAJWA HAPO JUU.
Habari za jioni Watanzania wenzangu.

Hao wana magoli k/koo na ilala wengi waoMimi huwa najiulizaga
Kuna mashabiki kila inapoenda timu na wao wanaenda
Unakuta timu ipo Lindi wao wapo, baada ya siku 4 ipo Kigoma wao wapo baada ya siku tano ipo Dar wao wapo baada ya siku 6 timu ipo nje ya nchi na wao wapo
Muda mwingi huwa wanatumia kusafir na kuwa mikoani (mfano Safari ya Rwanda Hadi kurudi itachukua siku Karibu 7)
Hawa jamaa huwa hawafanyi kazi zao??? (za kiuchumi)
Hela za kusafiria kila mkoa/sehemu timu ilipo wanapata wapi??
Au ile ndio ajira yao??
Wapo ofisini hapo..Kuna kakikundi kama ka watu wachache hivi huwa kila mechi ya Yanga wapo na Azam nao lazima wawaonyeshe..Mimi huwa najiulizaga
Kuna mashabiki kila inapoenda timu na wao wanaenda
Unakuta timu ipo Lindi wao wapo, baada ya siku 4 ipo Kigoma wao wapo baada ya siku tano ipo Dar wao wapo baada ya siku 6 timu ipo nje ya nchi na wao wapo
Muda mwingi huwa wanatumia kusafir na kuwa mikoani (mfano Safari ya Rwanda Hadi kurudi itachukua siku Karibu 7)
Hawa jamaa huwa hawafanyi kazi zao??? (za kiuchumi)
Hela za kusafiria kila mkoa/sehemu timu ilipo wanapata wapi??
Au ile ndio ajira yao??
Kama yule dogo wa yanga anayependa kurusha njiwa uwanjaniMimi huwa najiulizaga
Kuna mashabiki kila inapoenda timu na wao wanaenda
Unakuta timu ipo Lindi wao wapo, baada ya siku 4 ipo Kigoma wao wapo baada ya siku tano ipo Dar wao wapo baada ya siku 6 timu ipo nje ya nchi na wao wapo
Muda mwingi huwa wanatumia kusafir na kuwa mikoani (mfano Safari ya Rwanda Hadi kurudi itachukua siku Karibu 7)
Hawa jamaa huwa hawafanyi kazi zao??? (za kiuchumi)
Hela za kusafiria kila mkoa/sehemu timu ilipo wanapata wapi??
Au ile ndio ajira yao??
Ina maana hujawahi hata kusafiriHabari za jioni Watanzania wenzangu.
Kwa miaka ya hivi karibuni mpira wa Nchi yetu umechangamka sana. Vilabu vyetu Simba na Yanga si tu vinaogopeka baki pia vinacheza mpira wa kuvutia kwa viwango vyetu vya Afrika.
Suala hili limepelekea watanzania rika na jinsi tofauti kuonesha kusupport angalau kushangilia vilabu hivi viwapo nchini au nje ya nchi.
Kwa nyakati hizi Simba watakuwa ZAMBIA Yanga watakuwa RWANDA. Nimepitia Page za hizi klabu zote mbili kila upande umeandaa usafiri. Yes Usafiri wa kwenda Zambia (SIMBA) na KWENDA RWANDA (YANGA) usafiri husika ni nauli na ratiba ya safari vimewekwa.
AMBACHO BADO NATAMANI KUFAHAMU SASA.
JE, MASHABIKI AWA WATAKAO ENDA WATAKULA WAPI?
WATAKULA NINI?
WATALALA WAPI?
WATAFIKIA WAPI?
NINA IMANI HIZI SAFARI SIO MARA YA KWANZA ZINAFANYIKA WENYE UZOEFU NAOMBA MTUPE MWANGAZA. KUMBUKUMBU ZANGU ZINANIONESHA KUNA KIPINDO YANGA WALIENDA NA NDEGE YA SERIKALI AFRIKA KASIKAZINI MWAKA JANA.
NIKO INTERESTED KWENDA RWANDA BUT BEFORE NATAMANI KUPATA TARIFA KUHUSU MAMBO TAJWA HAPO JUU.
Na watu wa michongo yao ambayo sio lazima wawepo ofisini ili kazi ifanyikeMimi huwa najiulizaga
Kuna mashabiki kila inapoenda timu na wao wanaenda
Unakuta timu ipo Lindi wao wapo, baada ya siku 4 ipo Kigoma wao wapo baada ya siku tano ipo Dar wao wapo baada ya siku 6 timu ipo nje ya nchi na wao wapo
Muda mwingi huwa wanatumia kusafir na kuwa mikoani (mfano Safari ya Rwanda Hadi kurudi itachukua siku Karibu 7)
Hawa jamaa huwa hawafanyi kazi zao??? (za kiuchumi)
Hela za kusafiria kila mkoa/sehemu timu ilipo wanapata wapi??
Au ile ndio ajira yao??
Mimi huwa najiulizaga