Je, walijua watakufa 2014?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Wametengeneza movies ambayo inahusu mtu aliyebakiza dakika 90 kufa na movie imetoka 2014 na mwandishi wa movie na muigizaji Robin Williams wote wamekufa mwaka huo huo 2014

Je, walijua au bahati mbaya

 
Kama walikuwa na ugonjwa wa muda mrefu inawezekana, vinginevyo hakuna ajuaye kesho
Hakuna alie ugua kati yao mkuu.
Robin Williams alifariki kutokana na matatizo ya kimahusiano, matumizi ya madawa ya kulevya, msongo wa mawazo na kufilisikia. Hii ilipelekea akaamua kujinyonga.
Assi Dayan huyu alikufa kutokana na matumizi makubwa ya madawa ya kulevya.
 
Sisi tuliosomea ushagoo tunasema walikomiti suisaidi...

Kwahiyo mleta mada kashapata jibu hapa. Walijua watadedi 2014...

Thread Closed.
 
Kwa hiyo ambao sio devil worshiper,,Hawafii??
No,sina maana hiyo isipokuwa hawa watu huwa wanajua mwisho wao kutokana na maagano yao hivyo hata movie hutengeneza kwa namna ya kutoa ujumbe japo ni wachache sana huelewa.
Kwa mfano Paul wa fast an furious ...gari ziligawana njia
 
Most celebrities in the world are connected to satan worship they know when things goes wrong they have to deliver a sacrifice on time otherwise they will be responsible respectively.
 
Nasoma hapa wanasema eti tunadaiwa na benki ya Dunia sijui dola bilioni ngapi! Hawa wanantania nini? Hayo madeni yao mi sidaiwi hata mia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…