Je Walimu waliopo masomoni Wilaya ya Kilombero hawapaswi kupandishwa madaraja

Nawewe ni great thinker? Kweli hilijukwaa limebakwa! Hii ni thread umekaa ukatafakari na kutafakuri na kuja na thread ambayo hata STD 4 hawezi akaandika ugoro wa namna hii.
 
Acha ujinga njali kama hauna majibu kaa kimya mm nakujua uwezo wako ni mdogo mno si nilikuwa nakusikia kipindi cha michezo pale uwanja wa taifa pale ifakara, ulikuwa hauna lolote
 
Daraja lipi wewe mwalimu usietaka kujieleza.B1 kwenda B2 au B kwenda C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…