consigliori
JF-Expert Member
- Mar 29, 2010
- 392
- 89
Wana JF naomba kuelimishwa katika hili. Watu mbalimbali wanadai kuwa watu ambao wako mbali na sehemu walizojiandikisha kupiga kura, hawawezi hata kumchagua rais, wengine wanasema wanaweza kumchagua rais isipokuwa diwani na mbunge. Lipi ni sahihi?