Elections 2010 Je walio mbali na vituo walivyojiandikishia kupiga kura hawawezi hata kumchagua Rais?

consigliori

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2010
Posts
392
Reaction score
89
Wana JF naomba kuelimishwa katika hili. Watu mbalimbali wanadai kuwa watu ambao wako mbali na sehemu walizojiandikisha kupiga kura, hawawezi hata kumchagua rais, wengine wanasema wanaweza kumchagua rais isipokuwa diwani na mbunge. Lipi ni sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…