Frank elirumisha
Member
- Aug 9, 2023
- 20
- 21
CCM wanashindwa kutambua kwamba ZAMA zimebadilika,Watz wa leo sio wa mwaka 1947..Wanatakiwa waheshimu mawazo na maoni ya WatanzaniaKilicho dhahiri, kutokana na mjadala wa sheria hii, ni kwamba Tanzania ina watu wengi wenye akili. Wenye akili wapo huko kwenye taasisi za dini, sekta binafsi, vyama vya upinzani, kwenye NGOs. LAKINI wajinga na watu wa hovyo wapo Serikalini na ndani ya CCM. Lakini hawa wajinga na watu wa hovyo ndio wanaoongoza nchi. Yumkini hatuendi kokote.
Hawajui wanachokitakaKwanini wengi wa wachangiaji wamepinga mswada kama wawakilishi wa Taasisi za Kidini, wakristo na waislamu wote wanapinga.
Kwa ushahidi uliowazi wawakilishi wa taasisi za kijamii na zenyewe zinapinga.
Je, Uchaguzi utakaofanyika 2025 wananchi watakuwa na Imani na tume ya Uchaguzi kwa kuwa wamepata elimu ya kutosha kuwa tume sio huru hasa suala la wakurugeni kuonekana ni wateule wa rahisi.
Je, bunge hili linaweza kutunususu kipindi hiki baada kuona walichofanya kwenye DP World jadili tuone tunatoka vipi kipindi kigumu?
Binafsi niseme "SITOPIGA KURA 2025"Kwanini wengi wa wachangiaji wamepinga mswada kama wawakilishi wa Taasisi za Kidini, wakristo na waislamu wote wanapinga.