Je, waliomshinikiza Joe Biden kujitoa kwenye mbio za Urais walilenga kumrahisishia Trump njia ya kuwa Rais.?

Je, waliomshinikiza Joe Biden kujitoa kwenye mbio za Urais walilenga kumrahisishia Trump njia ya kuwa Rais.?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla Mwanamke kuwa Rais wa Marekani.

Trump vs Hilary Clinton (Mwanamke)-Trump alitoboa.

Trump vs Harris Kamala (Mwanamke)-Njia nyeupe

Katika mazingira ambayo Dunia inaamini kwenye mfumo dume,Kwa nini Waliomshinikiza Biden ajitoe wakati Aliwahi kumshinda Trump alipopambana nae?

Kiufupi Trump ni mwepesi akishindana na Mwanaume mwenzie ila ni Shujaa akishindanishwa na Mwanamke.

Na mashaka ,hili jambo limepangwa Kwa makusudi na Kimkakati Ili hasa kukomesha vita ya Russia vs Ukraine.

View: https://www.instagram.com/p/DBvBoRkISuv/?igsh=MXIwMzd4N2MwejJ3cA==

My Take
Siku ya kwanza tuu Kamala anatangazwa,Trump aliandika huko X kwamba atashinda asubuhi na anawashukuru Democrats na Biden Kujitoa.

View: https://www.instagram.com/p/DCBRjA5uZiW/?igsh=MWdkNWQ5YXZhbTZobg==
 
Siku ya kwanza tuu Kamala anatangazwa,Trump aliandika huko X kwamba atashinda asubuhi na anawashukuru Democrats na Biden Kujitoa.
Kitendo cha kuandika tu kwamba, Je, Kamala ataweza kumshinda Trump? inaleta picha nzima.

Wakati wanamfurusha 2020 aliposema atarejea kwa namna moja au nyingine, watu wengi sana hawakumwelewa. Lakini sasa mambo yote hadharani.
 
In America anything is possible, hizo akili zenu za mfumo dume, sijui takataka gani bakini nazo huko huko uswekeni. BTW kamala was the first vice president in American history.
Depute president wa American hana meno bro; kazi zake hazieleweki; waziri mkubwa American ni yule wa ulinzi na mambo ya nchi za nje
 
Depute president wa American hana meno bro; kazi zake hazieleweki; waziri mkubwa American ni yule wa ulinzi na mambo ya nchi za nje
Sasa wale mabwanyenye wa military-industrial complex ndio wanapenda sana rais asiye na meno, ili wao wafanye watakavyo.

Umesahau kisa cha Trump kumfurusha kazi John Bolton, mshauri wake mkuu wa diplomasia na masuala ya kigeni?

Trump mwenyewe baadaye mwaka mmoja hivi alikiri angeendelea kumkumbatia jamaa, wangeshapigana vita dhidi ya mataifa mengine zaidi ya mara nne.
 
Sasa wale mwabwanyenye wa military-industrial complex ndio wanapenda sana rais asiye na meno, ili wao wafanye watakavyo.

Umesahau kisa cha Trump kumfurusha kazi John Bolton, mashauri wake mkuu wa diplomasia na masuala ya kigeni?

Trump mwenyewe baada ya mwaka hivi akakiri angeendelea kumkumpatia jamaa, wangeshapigana vita dhidi ya mataifa mengine mara nne.
Yeah; nakubaliana na wewe bro, tena kwa 100% hata lile tukio la kutaka kumuua I think ni hao hao; huyu jamaa hatapendwa hasa kuhusu mgogoro unao endelea wa Ukraine na Russia, hao jamaa uliowataja wanapenda vita, somebody told me this, American ina hofia only one thing in the world, that thing is "PEACE" when the world is into peace, America doesn't make money. Sema kinacho endelea mashariki ya kati walau yeye yupo positive na Israel walau hilo kwa hao ma taicoon watafurahushwa nalo cause nchi hasimu na nchi rafiki kwa Israel zote zita nunua silaha. But all in all, America will NEVER and EVER be ruled by a woman. Jamaa wanahubiri usawa wa kijinsia but matendo yao kwa wanawake hayasemi hivo. Hawaamini katika mwanamke wale; kwa ufupi kuhusu jinsia jamaa hawana tofauti na Islamic countries. Kamara Harris hata yeye anajua kama hawezi kupewa security codes za nuclear, anajua hilo. Na kwasababu pia sio pure American, ndio kabisaaa, anamsindikiza tu mwamba
 
Kwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla Mwanamke kuwa Rais wa Marekani.

Trump vs Hilary Clinton (Mwanamke)-Trump alitoboa.

Trump vs Harris Kamala (Mwanamke)-Njia nyeupe

Katika mazingira ambayo Dunia inaamini kwenye mfumo dume,Kwa nini Waliomshinikiza Biden ajitoe wakati Aliwahi kumshinda Trump alipopambana nae?

Kiufupi Trump ni mwepesi akishindana na Mwanaume mwenzie ila ni Shujaa akishindanishwa na Mwanamke.

Na mashaka ,hili jambo limepangwa Kwa makusudi na Kimkakati Ili hasa kukomesha vita ya Russia vs Ukraine.

View: https://www.instagram.com/p/DBvBoRkISuv/?igsh=MXIwMzd4N2MwejJ3cA==

My Take
Siku ya kwanza tuu Kamala anatangazwa,Trump aliandika huko X kwamba atashinda asubuhi na anawashukuru Democrats na Biden Kujitoa.

Subiri November 5 tutakupa nafasi nzuri sana ya kupata jibu.
 
Biden ndio alikuwa anashindwa mchana kweupe na Trump. Hata kumbukumbu hana wala uwezo wa kufanya rallies hana.

Mtu hata kumtambua Zelensky alishindwa.
Umeona vizuri, mkuu. Joe Biden kwa kutokuwa active, ameiharibu sana dunia. Tunaweza kusema kisahihi kwamba vita vya Ukrene ndivyo vimemfurusha.

Putin kawafyeka pakubwa mno washirika wa NATO. Hao jamaa hawatokaa kamwe wamsahau huyo KGB.
 
Yeah; nakubaliana na wewe bro, tena kwa 100% hata lile tukio la kutaka kumuua I think ni hao hao; huyu jamaa hatapendwa hasa kuhusu mgogoro unao endelea wa Ukraine na Russia, hao jamaa uliowataja wanapenda vita, somebody told me this, American ina hofia only one thing in the world, that thing is "PEACE" when the world is into peace, America doesn't make money. Sema kinacho endelea mashariki ya kati walau yeye yupo positive na Israel walau hilo kwa hao ma taicoon watafurahushwa nalo cause nchi hasimu na nchi rafiki kwa Israel zote zita nunua silaha. But all in all, America will NEVER and EVER be ruled by a woman. Jamaa wanahubiri usawa wa kijinsia but matendo yao kwa wanawake hayasemi hivo. Hawaamini katika mwanamke wale; kwa ufupi kuhusu jinsia jamaa hawana tofauti na Islamic countries. Kamara Harris hata yeye anajua kama hawezi kuoewa security codes za nuclear, anajua hilo. Na kwasababu pia sio pure American, ndio kabisaaa, anamsindikiza tu mwamba
Factors for Trump's re-election 2024:
1. Failure of Joe Biden and Kamala's administration
2. Poor performance of NATO in the Ukraine-Russia war
3. The emergence of another incendiary battle front in the Middle East (Israel vs Hamas, Israel vs Hezbollah, Israel vs Iran)
4. A major threat against US economy and her international political platform from the fast-growing BRICS block
5. Joe Biden's replacement by Kamala Harris in the presidential race. If the president himself had to sign out, what would become of his vice president?

Wapo watu wanaamini kabisa kwamba Kamala yupo alipo sasa kinasibu tu.

Lakini ukiangalia vizuri, Democrats, na hasa special interest groups (sponsors) wana hasira sana kufuatia kumpoteza Hillary Clinton 2016, aliyekuwa tegemeo lao kubwa mno.

Kumteua Kamala ni jaribio lililobuniwa tangu ule uchaguzi wa 2020 kwa lengo la kufufua tumaini lililokuwa limejifia kipindi hicho. Sasa wanafanya jitihada zao za mwisho ili kuhakikisha kwamba ^Hillary^ mpya anaingizwa Jumba Jeupe.
 
Factors for Trumps re-election 2024:
1. Failure of Joe Biden and Kamala's administration
2. Poor performance of NATO in the Ukraine-Russia war
3. The emergence of another incendiary battle front in the Middle East (Israel vs Hamas, Israel vs Hezbollah, Israel vs Iran)
4. A major threat against US economy and her international political platform from the fast-growing BRICS block
5. Joe Biden's replacement by Kamala Harris in the presidential race. If the president himself had to sign out, what would become as for his vice president?

Wapo watu wanaamini kabisa kwamba Kamala yupo alipo sasa kinasibu tu.

Lakini ukiangalia vizuri, Democrats, na hasa special interest groups (sponsors) wana hasira sana kufuatia kumpoteza Hillary Clinton 2016, ambaye alikuwa tegemeo lao kubwa mno.

Kumweka Kamala ni kujaribu kufufua tumaini lililokuwa limejifia kipindi hicho. Ni sawa na kufanya jitihada zote ili kuhakikisha kwamba ^Hillary^ mpya anaingizwa Jumba Jeupe.
Pamoja saba bro
 
Majibu Yako wazi Mzee Wala haihitaji novemba
Sasa kama majibu yako wazi umeukiza hapa iki iweje?

Criticism ya Biden ilikuwa uzee. Imeondolewa. Trump hana hiyo point tena, na zaidi, yeye ndiye kawa mzee sasa.

Hapo Biden kuondoka kumemsaidiaje Trump?

Harris atashinda popular vote, hata Clinton alimshinda Trump hili, tatizo ni siasa za Marekani za Electoral College.

Unaposema Wamarekani hawachagui mwanamke, unaelewa kuwa Hilary Clinton alimshinda Trump kwa popular vote?
 
Rais ni trump
 
Back
Top Bottom