= mjadala
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
😂😂😂😂2025 Lissu atashindana na nani wa CCM??
Trump ni Kijana?Sasa kama majibu yako wazi umeukiza hapa iki iweje?
Criticism ya Biden ilikuwa uzee. Imeondolewa. Trump hana hiyo point tena, na zaidi, yeye ndiye kawa mzee sasa.
Hapo Biden kuondoka kumemsaidiaje Trump?
Harris atashinda popular vote, hata Clinton alimshinda Trump hili, tatizo ni siasa za Marekani za Electoral College.
Unaposema Wamarekani hawachagui mwanamke, unaelewa kuwa Hilary Clinton alimshinda Trump kwa popular vote?
Vita ya Ukraine haina uhusiano wowote na udhoofu wa afya na uzee wa Biden. Biden hata kupanda ndege mwenyewe anapanda kwa tabu, hata kumbukumbu nzuri hana. Hawezi shindana na Trump.Umeona vizuri, mkuu. Joe Biden kwa kutokuwa active, ameiharibu sana dunia. Tunaweza kusema kisahihi kwamba vita vya Ukrene ndivyo vimemfurusha.
Putin kawafyeka pakubwa mno washirika wa NATO. Hao jamaa hawatokaa kamwe wamsahau huyo KGB.
Nani kasema Trump kijana? Unapata wapi hili wazo?Trump ni Kijana?
umeongea fact . Wenyewe wanajua mwanamke ni mwanamke tu.Yeah; nakubaliana na wewe bro, tena kwa 100% hata lile tukio la kutaka kumuua I think ni hao hao; huyu jamaa hatapendwa hasa kuhusu mgogoro unao endelea wa Ukraine na Russia, hao jamaa uliowataja wanapenda vita, somebody told me this, American ina hofia only one thing in the world, that thing is "PEACE" when the world is into peace, America doesn't make money. Sema kinacho endelea mashariki ya kati walau yeye yupo positive na Israel walau hilo kwa hao ma taicoon watafurahushwa nalo cause nchi hasimu na nchi rafiki kwa Israel zote zita nunua silaha. But all in all, America will NEVER and EVER be ruled by a woman. Jamaa wanahubiri usawa wa kijinsia but matendo yao kwa wanawake hayasemi hivo. Hawaamini katika mwanamke wale; kwa ufupi kuhusu jinsia jamaa hawana tofauti na Islamic countries. Kamara Harris hata yeye anajua kama hawezi kupewa security codes za nuclear, anajua hilo. Na kwasababu pia sio pure American, ndio kabisaaa, anamsindikiza tu mwamba
Mwambie siku akichinja na mimi anialike.Kumbe nguruwe akichinjwa kwa kuelekezwa kibra ndiyo waislamu mnaweza kumla ...ni maneno ya shekh hapa ninapo ishi
Napata kutoka kwenye hoja ya kumtoa Biden kwamba ni MzeeNani kasema Trump kijana? Unapata wapi hili wazo?
Ndiyo ujue kwamba wafuasi wa Trump hawana akili.Napata kutoka kwenye hoja ya kumtoa Biden kwamba ni Mzee
Ila Kamala hatoboiNdiyo ujue kwamba wafuasi wa Trump hawana akili.
Wamempiga madongo Biden kwamba ni mzee, wakati Biden na Trump hawana tofauti sana kiumri.
Biden kakubali, kasema sawa, mimi mzee, kakaa pembeni.
Sasa Trump ndiye anaonekana mzee.
Halafu unasemaje kuwa Trump kapata urahisi kuwekewa Kamala Harris kama mpinzani wake hapo?
Unafuatilia US polls zinavyoenda? Au unaandika kwa hisia tu?
Unaposema Trump ni mzee ukimlinganisha na Biden unafanya makosa makubwa sana - kimwonekano na kisayansi.Ndiyo ujue kwamba wafuasi wa Trump hawana akili.
Wamempiga madongo Biden kwamba ni mzee, wakati Biden na Trump hawana tofauti sana kiumri.
Biden kakubali, kasema sawa, mimi mzee, kakaa pembeni.
Sasa Trump ndiye anaonekana mzee.
Halafu unasemaje kuwa Trump kapata urahisi kuwekewa Kamala Harris kama mpinzani wake hapo?
Unafuatilia US polls zinavyoenda? Au unaandika kwa hisia tu?
Tukienda kwa ushahidi wa polls the race is too close to call.Ila Kamala hatoboi
Mbona unazungumza nje kabisa ya mada, chifu?Vita ya Ukraine haina uhusiano wowote na udhoofu wa afya na uzee wa Biden. Biden hata kupanda ndege mwenyewe anapanda kwa tabu, hata kumbukumbu nzuri hana. Hawezi shindana na Trump.
Porojo jazz bandUnaposema Trump ni mzee ukimlinganisha na Biden unafanya makosa makubwa sana - kimwonekano na kisayansi.
Kimwonekano, Trump ni imara kuliko jana na leo, huenda hata kuzidi ile 2016. Mkuu, hebu mweke Trump na Biden kwenye jukwaa moja ili tutathmini mwonekano huo uusemao. You're way better than this.
Kisayansi kuna hoja mbili. Trump ana umri wa miaka 78 wakati JB ana 81. Halafu, tena kuna kitu kinaitwa umri wa akili, mbali na umri wa kimwili, ambapo Trump bado anampiku kukubwa mno mzee wako.
Hapo sijataka kabisa kugusia suala la afya. Hilo nakuachia wewe mwenyewe.
Kuhusu Kamala kupata urahisi kimteremko na kimserereko, hilo liko wazi kama adhuhuri. Lini ulimwona huyo Mhindi akipitia mchakato wa Democratic primaries ili kupimwa dhidi ya watia-nia Democrats wenzie, kabla ya uteuzi rasmi kama mgombea wa urais?
Democrats wamejikaanga kwa mafuta yao wenyewe. Ndiyo maana sishangai kumwona mwanasiasa Democrat makini kama Tulsi Gabbard ameachana nao na kujiunga na Republican hivi majuzi tu.
Kura itakomesha mashindano.Kwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla Mwanamke kuwa Rais wa Marekani.
Trump vs Hilary Clinton (Mwanamke)-Trump alitoboa.
Trump vs Harris Kamala (Mwanamke)-Njia nyeupe
Katika mazingira ambayo Dunia inaamini kwenye mfumo dume,Kwa nini Waliomshinikiza Biden ajitoe wakati Aliwahi kumshinda Trump alipopambana nae?
Kiufupi Trump ni mwepesi akishindana na Mwanaume mwenzie ila ni Shujaa akishindanishwa na Mwanamke.
Na mashaka ,hili jambo limepangwa Kwa makusudi na Kimkakati Ili hasa kukomesha vita ya Russia vs Ukraine.
View: https://www.instagram.com/p/DBvBoRkISuv/?igsh=MXIwMzd4N2MwejJ3cA==
My Take
Siku ya kwanza tuu Kamala anatangazwa,Trump aliandika huko X kwamba atashinda asubuhi na anawashukuru Democrats na Biden Kujitoa.
Tabiri za mchongo zisikudanganye!Trump anashinda hasa kwenye hiyo Electoral college.