Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh!Thubutu..!
Na jinsi wanavyoandamwa na vitisho vya mlipuko wa vita kila kona duniani?
Kamara akae kwa kutulia
Kamala Haris ni mnyonge na dhaifu sana, ni vigumu kumpa wajibu mzito kwenye ulimwengu uliojaa ubabe kila kona ya dunia..Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla,yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia?.Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie!Nov 4!
Unaizungumziaje Tanzania na uchaguzi ujao?Kamala Haris ni mnyonge na dhaifu sana, ni vigumu kumpa wajibu mzito kwenye ulimwengu uliojaa ubabe kila kona ya dunia..
Donald J Trump atachaguliwa muhula wa pili kwenye uchaguzi mkuu wa marekani Nov ijayo 2024🐒
gentleman, mbona iko wazi na bayana sana kwamba,Unaizungumziaje Tanzania na uchaguzi ujao?
Bado tuendelee kuwaamini ambao wewe unaingiwa na hofu kwamba hawastahili kuongoza USA,
Tafadhali karibu na usiongozwe na mahaba
Tutolee ujinga hapa kwanza inatakiwa lianzishwe jukwaa la machawa ili mue na mambo yenu huko hii ni international forum weka mambo ya msingigentleman, mbona iko wazi na bayana sana kwamba,
kiongozi wa Tanzania alieko mamlakani hivi sasa ni miongoni mwa viongozi marais wanawake shupavu wenye ushawishi na nguvu zaidi za kimamlaka duniani..
Na kwasababu hiyo basi,
ni kiongozi anaeminika, anakubalika, anaependwa zaidi na anaungwa mkono na wananchi wengi zaidi Tanzania.
Infact,
Kiongozi wa Tanzania na mwenyekiti wa CCM Taifa, Dr. Samia Suluhu Hassan anapewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu mwepesi sana wa Oct. 2025, kutokana na record yake nzuri mno ya maendeleo ndani ya kipindi kifupi cha uongozi wake 🐒
Wekeni uzi wa wake huu ni wa Kamala hapo ujamsaidia muanzisha uziUnaizungumziaje Tanzania na uchaguzi ujao?
Bado tuendelee kuwaamini ambao wewe unaingiwa na hofu kwamba hawastahili kuongoza USA,
Tafadhali karibu na usiongozwe na mahaba
nyumbu tangu lini akawa muerevu zaidi ya mihemko tu 🤣Tutolee ujinga hapa kwanza inatakiwa lianzishwe jukwaa la machawa ili mue na mambo yenu huko hii ni international forum weka mambo ya msingi