Je wamkumbuka Soccer super hero huyu?

Je wamkumbuka Soccer super hero huyu?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
robert.jpg
 
Alikosa peanati muhimu fainali ya 1994 kati ya Brazil na Italy- Brazil wakachkua kombe
 
da jamaa kazeeka lakini alikuwa c mchezo kwa wale tuliobahatika kumuona 1994 snd before that
 
Nakumbuka world cup 1994 kule USA,aliwafunga Nigeria bao la penati ktk dk za nyongeza 30,na Italy wakaingia robo fainali baada ya kuwa nyuma bao 1-0 hadi dk 88 ambapo Baggio alisawazisha na wakaenda extra time akawafunga kwa tuta Nigeria.
 
alipostaafu tu, siifurahii tena timu ya taifa ya italia
 
Jumapili saa 5 na dk 45 usiku kwa saa za afrika mashariki,ni pambano kati ya wapinzani wa jadi wa jiji la Milan,Italy pale Giusseppe Meazza,Inter Milan vs AC Milan,timu zote mbili aliwahi kuchezea Baggio,na pia alichezea ukiongezea na Juventus "AJUZA" (THE OLD LADY OF TURIN,THE GIRLFRIEND OF ITALY,THE LADY KILLER,THE ZEBRAS,THE WHITE BLACKS)
 
Anaoneka bado yuko fit kucheza mpira kwa wakongwe wa soka
 
Alikuwa akilindwa na kuungwa mkono na makundi ya MAFIA MOB ambayo kwa namna moja au nyingine yalikuwa yakifaidika na umaruufu wake..
 
Back
Top Bottom