Japo wanachosema na kupigania ni cha kweli, Nina wasiwasi kuwa ni propaganda za watawala kufifisha agenda ya wapinzani. Walikuwa wapi nyakati zote hadi wajitokeze wakati huu wa kuelekea uchaguzi? (Tuwaulize hawa Harakaharaka na Askofu anayefufua).
Nafikiri nje ya box. Propaganda ni somo kubwa sana na siasa hasa za kiafrika hazitabiliki.