Wana JF naombeni kujuzwa nina ndugu yangu ameomba mkopo wa kujiendeleza na elimu wakati selection ya kwanza inatoka account yake ilikuwa inaleta ( your application has been submited successful ).
Then selection 2 inatoka account ya dogo ikachange kuenda SIPA lakin kila tukijalibu kuangalia ugawaji wa mkopo akuna kinacho tokea ( No allocation approved for index number ×××× ) je dogo hapo anakuwa amekosa ama maana vyuo vimeisha funguliwa na atujui mustakabali wake na kila nikijaribu kuangalia kwenye websites na social media account zao akuna wanacho jibu naombeni kujuzwa