Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Umefafanua deeply sana mzee baba.Democratization seemed likely to have the effect of empowering the opponents of market-oriented policies, while successful market reform would require benevolent “developmental states” insulated from the cut and thrust of democratic politics
Umefafanua deeply sana mzee baba.
Tuendelee tu mkuu kwa maana ninapenda sana uchambuzi wako.Je, tuendeleze uchambuzi wa hili mada ya demokrasia.
Sawa kabisa mkuu. Haina tatizo kabisa kaka mkubwa.On issues which touches educated opinion I am forces to use English because my vocabulary of Kiswahili is limited to paint the matters as they are..
Naaam kaka mkubwa.Mkuu Infantry Soldier
Umeitikia tu wakati mmi niliandika majibu marefu kisha nikakutajaNaaam kaka mkubwa...
Mkuu, huwa ninapendaga sana kuchukulia mazungumzo ya hapa JF kama vile ni yale ya ana kwa ana.Umeitikia tu wakati mmi niliandika majibu marefu kisha nikakutaja
Sawa kabisa mkuu.kwanza tunapaswa kujiuliza je vuguvugu la kutafuta demokrasia barani Africa ni zao la jamii ya Africa yenyewe au ni zao la jamii nyingine tusioijua?
Hahahaa hata mimi nikamshangaa huyu Soldier ila ametoa ufafanuzi sasa nimemuelewaUmeitikia tu wakati mmi niliandika majibu marefu kisha nikakutaja
Hilo la kuzuia T-shirt kwako ndio demokrasia?Aise Ghana ni nchi ya tofauti mno. Wale watu wamepiga hatua sana kwenye swala la demokrasia. Kule huruhusiwi kuvaa tishet la chama utembee barabarani kama siyo wakati wa uchaguzi. Mahakama ni huru kweli
Huo ndio mtazamo wakeHilo la kuzuia T-sheti kwako ndio demokrasia!?!
Kumpa challenge kidogo sio mbaya lakini.Huo ndio mtazamo wake
Sawa mkuu. Ngoja nitajaribu kufuatilia na siasa za Malawi nione zinaendaje kaka.Malawi inajibu maswali yako vizuri.
Tundu Lissu ni aina ya binadamu ambao ukiwa nao lazima ufuate anachotaka. Wana siasa za kulazimishana sanaMalawi inajibu maswali yako vizuri. Juzi tu Rais wao mpya kashangiliwa kama mkombozi, kesho yake kaingia na utitiri wa ndugu zake Serikalini. Sasa sijui ni kwa ajili ya maendeleo ya nchi au ndio wamekuja na njaa kama fisi aliyetoka kuzaa.
Wadau mpaka sasa nasikia CCM imeshachukua majimbo nane.nchi nyng africa wanasiasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.