Je, wanaharakati wa kisiasa barani Afrika wanapigania kwa dhati mabadiliko ya kidemokrasia au maslahi yao binafsi?

Nitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake moja jina Magufuli Hili jina limejaa uzalendo.
 
Tundu Lissu hujui geography ya Tanzania? Kwako Chato iko nchi gani?
 
Magufuli tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi.
 
Hii Nchi inahitaji mtu jasiri kama Rais Magufuli.
 
Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa sana.
 
Kufikia October Rais Magufuli atafikia 98%.
 
Kila la kheri leteni mgombea atakayempokonya Magufuli hata asilimia tano ya kura.
 
Magufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.
 
Tumpongeze Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa kuzalisha wasomi wazalendo kama Rais Magufuli.
 
Kwa jinsi Rais Magufuli alivyopambana na corona atashinda kwa 100%.
 
Chadema wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
 
Sisi Watanzania tunaenda na Rais Magufuli vyama vingine vimeamua kwenda na konyagi Shauri zao.
 
Nchi nyingi Africa wanasiasa bado wanafight ili waweze kujaza matumbo yao. Angalia wakosoaji wakipewa madaraka wanavyobadilika ghafla.
Nimejifunza kuwa watu wengi Afrika ni wazalendo wakiwa na njaa. Lakini wakipata upenyo wa madaraka au mafanikio ni matapeli, majizi, mafisadi na wauaji wakubwa
 
Mabeberu yanatuonea wivu Maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yanaumiza sana hawa wajinga.
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tukikuongezea miaka kumi tutaipiku USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…